University of Dodoma badilikeni

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
Imekua ni wiki mbili mfululizo sasa tangu muanze kutoa admission letter kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi walochaguliwa hapo chuoni kwenu lakini cha kushangaza mpaka sasa.

Hiyo system yenu ni mbovu haijapata kutokea kwa mfano mie binafsi haijanisaidia chochote kwa sababu naingiza index ya form four as my user name and surname as my password lakini naambia the do not match sasa na simu zenu hazipokelewi hii ni kero bora mgefanya kama udsm mkononi sasa nyie mnalazimisha kutumia mtandao na system yenu yenyewe ni mbovu na mbaya zaidi simu hampokei sasa kulikua kuna maana gani ya kuweka namba za simu kwa atakaye kumbana na tatizo la system halafu msipokee hizo ni dharau na kutusababishia usumbufu.
 
udom wanakosea sana, halafu wenyewe wanachukulia ni kama jambo la kawaida sana, hawaonyeshi ushirikiano kabisa, simu zao hazipokelewi hata chembe ili kuonyesha hata wanajali, bora waige mfumo wa udsm admission letter mkononi tu kuliko hii digitali ya udom system inashindwa kuwa tambua wanafunzi wake
 
Mbona me nilimchukulia mdogo angu kiurahisi tu?
 
unajua usitake ujinga wake ujulikane kwenye hadhira.

Elimu yako lazma ikusaidie kwa kutatua matatizo madogomadogo. Kosa lako mwenyewe usiwalaumu watu. Uliza ujibiwe. Kwa taarifa yako hii njia ndo mzuri. Niambie unatakiwa kupeleka fomu ya uthibisho kwa daktari,je utakubali utoke kwenu Rukwa uende Dodoma ukachukue fomu ya daktar kisha urud kwenu rukwa?

Achen lawama zisizo na msingi.
 
wee pimbi acha kukichafua chuo kwa ushamba wako nitumie # yako ya fm 4 , mwaka ulomalza o level na surname yako nikutolee

ila licha nimechaguliwa UDOM ndio nakikubali ila iki chuo chetu kimezidi kwenye kuiba fedha za wanafunzi michango mingii kila kitu kulipia hadi karatasi za warden unalipia.,, umoja wa wanafunzi ada unatozwa mara mbili ukizingatia unakuwa tayri umelipiwa na bodi bado direct fee kwanini iwe tofauti na ya UDSM ilhali vyuo vyote ni vya government yani kimepitwa hata na KCMC duuuuh kweli I can all it second PRIVATE
 
karatas za waden unazolpia n zp mzee km continuing skuelew. rerkal ya wanafnz unalpa mara 2 how?
 
Mie kitambo nilishasema hiki chuo cha kata . kina mambo ya kise....nge ya kisen...ge kweli.

we ropoka tu ila ukwel uko pale kuwa udom n chuo la ukwel we mwenyewe ukifika utataman uxome hapo ila hyo nafas htopata
 
Avator mock,acha ushamba,hii udom yako ni ip unayoisema?mbona mi niko hapa haya siyaon!michango yote ipo kwenye website
 
me nimesoma udom na nilikuwa kiongozi wa udoso kama mtu anatatizo aulize hapa nipo kwa nia ya kujibu maswali nakaribisha maswali kuntu
 
Nyie endelea kupiga domo mtandaoni,sisi wahitimu wa Udom tupo mtaani tunakula life kama kawaida.

Hadi SAUT tawi la Bukoba wanaiponda Udom? hii ni hatari,chuo ambacho hata hawajaingiza graduate yeyote sokoni?

Lakini nilishaandika sana hakuna mwenye akili anayeponda university fulani bali hawa ni BRN walioenda vyuoni kwa kozi za sifa kama IR, PSPA,nk lakini wakihitimu wanarudi hapa kuulizia jinsi ya kufanya postgraduate za education
 
WE DOGO NAKUHAKIKISHIA LAZIMA UDISCO kama kitu huelewi yakubidi uulize kuna zaidi ya wanafunzi 3000 wamechaguliwa UDOM sasa tatizo lako binafsi uje ututukane sisi wana udom sasa hawa wengine mbona wamezipa tuombe razi dogo
 
mtu ukitoka shule za kata alafu ukizaliwa kijijini na kuishi kijijini ukifika chuo kila mtu unamdharau
 

andika namba yako hapa niweze kukuchukulia admin. Letter,
 
Avator mock,acha ushamba,hii udom yako ni ip unayoisema?mbona mi niko hapa haya siyaon!michango yote ipo kwenye website

sio kila kitu ushamba usirukie rukie tuuu, udom kwani ina college moja????
 
karatas za waden unazolpia n zp mzee km continuing skuelew. rerkal ya wanafnz unalpa mara 2 how?

Atakuwa keshapigwa changa la macho na kihelehele chake cha Advance huyu anongea vitu ambavyo havipo kabisa aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…