Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Imekua ni wiki mbili mfululizo sasa tangu muanze kutoa admission letter kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi walochaguliwa hapo chuoni kwenu lakini cha kushangaza mpaka sasa.
Hiyo system yenu ni mbovu haijapata kutokea kwa mfano mie binafsi haijanisaidia chochote kwa sababu naingiza index ya form four as my user name and surname as my password lakini naambia the do not match sasa na simu zenu hazipokelewi hii ni kero bora mgefanya kama udsm mkononi sasa nyie mnalazimisha kutumia mtandao na system yenu yenyewe ni mbovu na mbaya zaidi simu hampokei sasa kulikua kuna maana gani ya kuweka namba za simu kwa atakaye kumbana na tatizo la system halafu msipokee hizo ni dharau na kutusababishia usumbufu.