KERO University of Iringa Wafanyakazi hatujalipwa mishahara kwa miezi mitatu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna changamoto hapa, kuna chuo kinaitwa Tumaini kipo iringa(yaani University of Iringa) kwa muda wa miezi kama mitatu Wafanyakazi wa hapa hatujalipwa mishahara.

Malipo yetu yanategemea mpaka wanafunzi watakapo rudi, sasa je kuna wazazi, walezi, na wengineo tutawezaje kuhudumia familia zetu katika mambo ya msingi kama chakula, umeme, maji na kadhalika.

Kila tunapolalamika tunaambiwa wasubiri mkuu wetu anakopa ila pesa haifikii kwa wafanyakazi, imekuwa changamoto kubwa sana haswa chuo kikubwa kama kile.
 
Poleni. Uongozi hapo haupo serious kabisa.
 
Hili ni tatizo kubwa kwa miaka mingi sana.....sasq wajempa chuo Prof Hosea yulee anaejua kutumia pesa za bure za serikali atakifillisi hicho chuo.....muda si mrefu mtagawana mbao......huyo ni squanderrmania....hatari sanaaa.....hana huruma na taasisi
 
Hosea wa takukuru?
 
Kuna changamoto hapa, kuna chuo kinaitwa Tumaini kipo iringa(yaani University of Iringa) kwa muda wa miezi kama mitatu Wafanyakazi wa hapa hatujalipwa mishahara.

Malipo yetu yanategemea mpaka wanafunzi watakapo rudi, sasa je kuna wazazi, walezi, na wengineo tutawezaje kuhudumia familia zetu katika mambo ya msingi kama chakula, umeme, maji na kadhalika.

Kila tunapolalamika tunaambiwa wasubiri mkuu wetu anakopa ila pesa haifikii kwa wafanyakazi, imekuwa changamoto kubwa sana haswa chuo kikubwa kama kile.
Duuh! Hivi vyuo vya KKKT ni mateso kwa watanzania. Kwanini serikali isiingilie kati, km taasisi haiwezi kulipa mishahara ina haja gani ya kuendelea kuwepo?
Huko ndiko Tumaini University ilikoanzia, sahv hata Tumaini University Makumira haijalipa mishahara kwa miezi mitatu, taasisi inaitwa chuo kikuu haiwezi kulipa mishahara? Ni aibu, ni fedheha! Na wamejificha ndani ya kanisa, ndiyo maana tunasema haya makanisa ni maficho ya waovu, makatili, hakuna watu wenye roho mbaya na wabinafsi km wachungaji wa KKKT. Na serikali ya CCM ya sasa inaogopa kuwaingilia ukizingatia waziri wa Kazi ni mswahili flani tu anaitwa Deo Sangu nafikiri ni wa huko nyanda za juu kusini.
Lingine nilichojifunza hawa watu wa nyanda za juu kusini Iringa na Njombe kwasababu labda ya udumavu wa lishe wana uwezo mdogo wa kuongoza na kufanya maamuzi. Hayo ndiyo madhara ya kudumu ya lishe duni. Ni vijeba vibishi havishauriki na vyenyewe havina uwezo! Nakumbuka kwa Tumaini University Makumira kipindi mkuu wa chuo akiwa Dr. Shoo, makamu wa chuo (VC) Prof Joseph Parsalaw (giant wa kimasai) na Bursar marehemu Lekoringo (mjanja wa kimeru) chuo kilikuwa tajiri, kilikuwa kina pesa! Wale ni wajanja wa Chuga na wa kichaga wanajua pesa inapatikana vipi, sasa hao washamba wa sijui wa Makete wamezubaa wanachoweza ni roho mbaya, kuloga, kutoa watoto kafara. Nchi hii sijawahi kuona mkinga akiwa kiongozi mkubwa, hawana uwezo!
Kuna huyo anaitwa Faustine Mahali yule ni zero kabisa miaka 2 tu ameshaua chuo. Mkuu wa chuo Dr. Malasusa wa huko huko kusini, hawa watu hawana uwezo na wanalindana.
Kwa ujumla taasisi za KKKT ukiacha KCMC ambayo serikali inailinda kwa kulipa mishahara na kuwasupport kwa mambo mengine zingine zote ni hoi. Taasisi za hovyo kiongozi wa juu lazima awe mchungaji na askofu unategemea nini?
 
Mtihani kweli...
Hiki Chuo sisi ndio tulipiga upatu mpaka kikaanza kujengwa pale....mtu aliyepambana usiku na mchana ni Prof,Askofu Owdenburg Mdegella......Kipindi hicho bado ijana na bado kuwa Prof,..nawakumbuka watu kama,,Blomquest (sijui kama jina nimeandika SAWASAWA)..huyu alkuwa ni mzungu kibonge hivi....

Watu walijitolea sana..Mzee Chami...alikuwa mtaalamu wa ujenzi....

Chuo kilianzia kwenye sufuri...kikubwa ilikuwa ni maombi...na wengi walidhihaki...wakiona ni ndoto....

Namkumbuka mchungaji Chusi(RIP).....Naamkumbuka Mella Mwl wa Kwaya.......

Yote nayakumbuka haya ili kuwatia moyo muwe wavumilivu...hiki chuo tulitoka jasho bila kutegeme kulipwa chochote....sembuse ninyi kucheleweshewa....

Namkumbuka Muhaya mmoja jina nimesahau.....

Siku tunaweka jiwe la msingi ..pale lilipo jiwe la msingi tulizika biblia na kitabu cha nyimbo chenye liturgia...

Hiyo ni kwa kifupi...baada ya hapo nikapita kwa semtema nikanyonya ugimbi,,,nikaokota mlupo nikaelekea kupiga mikasi.
 
Duh!! Hii sasa ni hatari sana, wanategemea muishije?? Ni huzuni kwa kweli
Hao wahadhiri kwanini wasiwaburuze hao washenzi mahakamani? Na walivyo wapuuzi zaidi eti mhadhiri anapewa ajira ya mkataba wa miaka miwili miwili, hizi ni mbinu za kuwa-control wahadhiri, kwa maana kwa ugumu wa kazi ukienda mahakamani hutapewa mkataba tena.
Unyanyasaji huu unaendelea kwa kuwa serikali hii haiwezi kumtetea mnyonge wa nchi hii hasa hii ya sasa. TCU wameshindwa kutimiza wajibu wao, kwanini mhadhiri apewe mkataba wa miaka miwili? Uhadhiri ni kazi ya kibarua? Chuo kikuu ni kampuni inayofanya mradi wa muda mfupi?
Hivi vyuo vya makanisa vyote ni wanyanyasaji, kuanzia vile vya kanisa katoliki. Serikali kupitia TCU ilitakiwa ilinde raia wake dhidi ya hawa wakoloni weusi! Ila hasa kwa serikali hii ya Samia hakuna msaada wowote, angalau kipindi cha Magufuli serikali ikiona malalamiko km haya haraka sana ungewaona maafisa wa serikali hapo Iringa University.
Huyu mwanamke mzanzibari ametuharibia nchi, wananchi wananyanyaswa na wenye nguvu Rais mwenyewe amejificha km vila anaogopa raia wake. Samia hawezi kusaidia mwananchi anayenyanyaswa ht siku moja hata hao viongozi wa vyuo wanajua hilo ndiyo maana hawaogopi kuwafanyia huo ukatili! Kuna idara ya kazi, ipo tu pale haina msaada kwa mfanyakazi.
Tuna Rais amejiweka mbali sana na wananchi, kipindi cha Mkapa kila mwisho wa mwezi alikuwa anawasiliana na wananchi wake, huyu mama anajificha ni km ana uadui na wananchi.
Nakumbuka vizuri kipindi cha Magufuli post yyte ikiandikwa humu JF ilikuwa inafanyiwa kazi haraka sana, sasa hivi hata iandikwe mara 100 hakuna chochote! Fikiria miezi mitatu mhadhiri hana mshahara, mtu aliyetakiwa awe na hadhi yake ktk jamii sahv anaishi km chokoraa anaomba omba, kodi ya nyumba analipaje? Ana wategemezi, watoto wanasoma wanahitaji mambo mengi kuanzia ada, ndiyo maana elimu sahivi inadharaulika. Mhadhiri afadhali mlinzi maana ht km mshahara wake ni laki 3 analipwa kwa wakati.
Chuo hakijalipa mishahara miezi mitatu na bado TCU mnairuhusu kudahili wanafunzi? Watafundishwa na nani? Hivi mnafikiri hao wahadhiri wako sawa hata kiakili? Kisaikolojia? Lada muwafanyie couselling kwanza! Hawa viongozi wa serikali hawawezi kuelewa maana wao wamezungukwa na pesa, posho na marupurupu yanajngia mara nyingi kwa mwezi moja tu hata hawazi mshahara. Inaumiza sijui hii nchi inaelekea wapi, vyuo visivyoweza kulipa hata mishahara vifungwe maana huko si salama hata kwa watoto wetu! Mhadhiri asiyelipwa mshahara ataweza kufanya lolote!
 
Duuh! Hivi vyuo vya KKKT ni mateso kwa watanzania. Kwanini serikali isiingilie kati, km taasisi haiwezi kulipa mishahara ina haja gani ya kuendelea kuwepo?
Huko ndiko Tumaini University ilikoanzia, sahv hata Tumaini University Makumira haijalipa mishahara kwa miezi mitatu, taasisi inaitwa chuo kikuu haiwezi kulipa mishahara? Ni aibu, ni fedheha! Na wamejificha ndani ya kanisa, ndiyo maana tunasema haya makanisa ni maficho ya waovu, makatili, hakuna watu wenye roho mbaya na wabinafsi km wachungaji wa KKKT. Na serikali ya CCM ya sasa inaogopa kuwaingilia ukizingatia waziri wa Kazi ni mswahili flani tu anaitwa Deo Sangu nafikiri ni wa huko nyanda za juu kusini.
Lingine nilichojifunza hawa watu wa nyanda za juu kusini Iringa na Njombe kwasababu labda ya udumavu wa lishe wana uwezo mdogo wa kuongoza na kufanya maamuzi. Hayo ndiyo madhara ya kudumu ya lishe duni. Ni vijeba vibishi havishauriki na vyenyewe havina uwezo! Nakumbuka kwa Tumaini University Makumira kipindi mkuu wa chuo akiwa Dr. Shoo, makamu wa chuo (VC) Prof Joseph Parsalaw (giant wa kimasai) na Bursar marehemu Lekoringo (mjanja wa kimeru) chuo kilikuwa tajiri, kilikuwa kina pesa! Wale ni wajanja wa Chuga na wa kichaga wanajua pesa inapatikana vipi, sasa hao washamba wa sijui wa Makete wamezubaa wanachoweza ni roho mbaya, kuloga, kutoa watoto kafara. Nchi hii sijawahi kuona mkinga akiwa kiongozi mkubwa, hawana uwezo!
Kuna huyo anaitwa Faustine Mahali yule ni zero kabisa miaka 2 tu ameshaua chuo. Mkuu wa chuo Dr. Malasusa wa huko huko kusini, hawa watu hawana uwezo na wanalindana.
Kwa ujumla taasisi za KKKT ukiacha KCMC ambayo serikali inailinda kwa kulipa mishahara na kuwasupport kwa mambo mengine zingine zote ni hoi. Taasisi za hovyo kiongozi wa juu lazima awe mchungaji na askofu unategemea nini?
Ungejikita kwenye mada, siyo kutukana ardhi ya Mkwawa. Usisahau Trump anatutambua kama jimbo la 52 la Marekani. Balozi wa Marekani akifikaga Iringa ataki kuondoka. Anasema sijawahi sikia chemba za vyoo wala harufu ya binadamu ananuka jasho.. GOOD WEATHER CONDITION, green town ndiyo maisha yetu.
 
Kuna changamoto hapa, kuna chuo kinaitwa Tumaini kipo iringa(yaani University of Iringa) kwa muda wa miezi kama mitatu Wafanyakazi wa hapa hatujalipwa mishahara.

Malipo yetu yanategemea mpaka wanafunzi watakapo rudi, sasa je kuna wazazi, walezi, na wengineo tutawezaje kuhudumia familia zetu katika mambo ya msingi kama chakula, umeme, maji na kadhalika.

Kila tunapolalamika tunaambiwa wasubiri mkuu wetu anakopa ila pesa haifikii kwa wafanyakazi, imekuwa changamoto kubwa sana haswa chuo kikubwa kama kile.
Kwa hali ilivyo kuna taasisi unaweza kudhani umepata kazi kumbe umepatwa na kazi.
 
Vyuo vyote vyenye jina la Tumaini mbona vinalalamikiwa? Kuna nini nyuma ya pazia??
 
Mtihani kweli...
Hiki Chuo sisi ndio tulipiga upatu mpaka kikaanza kujengwa pale....mtu aliyepambana usiku na mchana ni Prof,Askofu Owdenburg Mdegella......Kipindi hicho bado ijana na bado kuwa Prof,..nawakumbuka watu kama,,Blomquest (sijui kama jina nimeandika SAWASAWA)..huyu alkuwa ni mzungu kibonge hivi....

Watu walijitolea sana..Mzee Chami...alikuwa mtaalamu wa ujenzi....

Chuo kilianzia kwenye sufuri...kikubwa ilikuwa ni maombi...na wengi walidhihaki...wakiona ni ndoto....

Namkumbuka mchungaji Chusi(RIP).....Naamkumbuka Mella Mwl wa Kwaya.......

Yote nayakumbuka haya ili kuwatia moyo muwe wavumilivu...hiki chuo tulitoka jasho bila kutegeme kulipwa chochote....sembuse ninyi kucheleweshewa....

Namkumbuka Muhaya mmoja jina nimesahau.....

Siku tunaweka jiwe la msingi ..pale lilipo jiwe la msingi tulizika biblia na kitabu cha nyimbo chenye liturgia...

Hiyo ni kwa kifupi...baada ya hapo nikapita kwa semtema nikanyonya ugimbi,,,nikaokota mlupo nikaelekea kupiga mikasi.
Mkuu usiseme" sembuse nyinyi kucheleweshewa". Mshahara ni haki yao na wanatakiwa kulipwa kwa wakati kama mkataba wa kazi unavyosema. Wafanyakazi wana majukumu,wana familia zinawategemea. Familia zao watakula mawe??
 
Mtihani kweli...
Hiki Chuo sisi ndio tulipiga upatu mpaka kikaanza kujengwa pale....mtu aliyepambana usiku na mchana ni Prof,Askofu Owdenburg Mdegella......Kipindi hicho bado ijana na bado kuwa Prof,..nawakumbuka watu kama,,Blomquest (sijui kama jina nimeandika SAWASAWA)..huyu alkuwa ni mzungu kibonge hivi....

Watu walijitolea sana..Mzee Chami...alikuwa mtaalamu wa ujenzi....

Chuo kilianzia kwenye sufuri...kikubwa ilikuwa ni maombi...na wengi walidhihaki...wakiona ni ndoto....

Namkumbuka mchungaji Chusi(RIP).....Naamkumbuka Mella Mwl wa Kwaya.......

Yote nayakumbuka haya ili kuwatia moyo muwe wavumilivu...hiki chuo tulitoka jasho bila kutegeme kulipwa chochote....sembuse ninyi kucheleweshewa....

Namkumbuka Muhaya mmoja jina nimesahau.....

Siku tunaweka jiwe la msingi ..pale lilipo jiwe la msingi tulizika biblia na kitabu cha nyimbo chenye liturgia...

Hiyo ni kwa kifupi...baada ya hapo nikapita kwa semtema nikanyonya ugimbi,,,nikaokota mlupo nikaelekea kupiga mikasi.
We ni mkongwe kwelikweli . Vijana changamoto kidogo tu wanatoa milio
 
Back
Top Bottom