Kijibabu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 483
- 622
Ubora upo kwenye kula vichwa na kuwaambia wanafunzi kuwa C ya Yudizimu ni Sawa na A ya TumainiSisi research zetu huwa zinaishia wapi??
Vile vile quality of Alumni iko vipi?? Hawa graduates, madokta na maprofesa wetu waliohitimu vyuo wana ubora gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app