University of Nairobi Ranked Best in East Africa. 8th in AFRiCA

Mwaka jana serikali iliajiri watumishi a afya 8000+ madaktari wengi walipata ajira, waliobaki wako sekta binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kuongea mambo kishabiki madaktari wapo kibao tu mtaani wanazunguka na vyeti vyao hakuna ajira. Wengine wengi tu ni ma intern wanafanya kazi kwa kujitolea. Hospitali zote kubwa unazozijua wewe wanachukua ma intern tu muda na wako ukiisha unasepa wanakuja wadogo zako. Hata hizo kazi za kujitolea bado zinagombaniwa watu wapate ata pesa ya kula.
Jaribuni kuongea ukweli ukweli siku zote utawaweka huru kuja kujitamba huku uonge mnapata faida gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
aisee hapa umeongea ukweli mtupu
 
Kwa akili yako intern anajitolea Au ni sehemu ya darasa?Na tangu lini internist akawa na njaa?acha kukurupuka vitu usivyovijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako intern anajitolea Au ni sehemu ya darasa?Na tangu lini internist akawa na njaa?acha kukurupuka vitu usivyovijua

Sent using Jamii Forums mobile app

Intern ni sehemu ya darasa akimaliza muda wake anakosa kazi anakuja kuendelea kujitolea hapo alipofanya intern kwa mda ataopewa baada ya hapo anasepeseshwa kwa sababu kazi hakuna umeelewa sasa??
 
Intern ni sehemu ya darasa akimaliza muda wake anakosa kazi anakuja kuendelea kujitolea hapo alipofanya intern kwa mda ataopewa baada ya hapo anasepeseshwa kwa sababu kazi hakuna umeelewa sasa??
Hujielewi utanielewesha nn sasa,hakuna ulazima wa kurudi ulipofanyia intern Kwani kila mwaka wanakuja wengine kukava kitengo,Miaka michache tu ndio intern imeanza kufanyika hosp za mikoa apo awali ilikua ni either muhimbili, kcmc, bugando au mbeya, sasa jaribu kuangalia utarudi muhimbili uombe kujitolea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nyie hua proud kumaliza chuo kikuu?kichwa hakina maarifa yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kijana unanichekeshasana. Eti kichwa hakina maarifa yoyoteyoyote lol!hao ndio wakenya.wanaenda chuo kusomea kimombo.
Nao wabongo wanaenda chuo kusomea umbea na matusi.
There are so many uMBEYA institute of gossip & insults studies alumni humu
 
Wahitimu wa vyuo vikuu hehehe
Ni tofaut kabisa na msomi wa chuo kikuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa nadhani ni mjinga maana natumia nguvu nyingi sana kukuelesha alafu huelewi .
Sasa ulichoandika ww na nilichoandika mm kuna tofauti gani?
Intern zinatumika kucover sehemu ambazo ajira zingewekwa so hospitali hazina uhitaji wa kuajiri tena madaktari graduates kwa sababu kazi zao hufanywa na interns.
Umeelewa sasa wewe mjinga?
Note mjinga sio tusi ni hali tu ya kutokujua kitu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hongereni majirani, mjitahidi mmalize ugaidi hiyo ndio breki yenu. ila kuna kitu mmesahau, scientist
 
Alshababu wamesikia tayari ngoja watie timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…