University registration

University registration

Chuo chako hakijakwambia? Basi subiri watatoa kupitia Joining'i instrakisheni utajua kila kitu.
 
beba academic ya form IV, results sleep ya VI chet, cha kuzaliwa na vyet vya ugonjwa (Kama unaumwa)
 
Udsm admission letters ni kuanzia tarehe 17. cheki kwa web yao
 
Back
Top Bottom