University za Kenya zitatengeneza tablets zaidi ya elfu mia moja sitini kwa sababu ya kuhesabu watu

Tunafanya assembling ambayo nyie hamwezi fanya
Sio kama hatuwez fanya maana tusingekuwa na assembly industry hapa ya super doll.
Bali bado sector ya viwanda haijakuwa ila usiseme hatuwez
 
gameover tuambie umefanya assembly ya tablet au laptop ngapi kwa kutumia mikono yako miwili. Zinaitwaje hizo tablet zako, umetengeneza tablet elfu kama ngapi hivi na ulipoziuza ulipata milioni kama ngapi? Hivi ndivyo haya mambo huwa yanafanywa. Hii ni Digital Assembly Plant ya Moi University. Hawa wanafunzi wamepata 40% ya tender ya KES 470.8million(chuo kikuu cha JKUAT 60%) na watatengeneza tablet 164,700! Wewe endelea tu kukomalia kwenye majungu na kulialia.
 
Kumbuka processors wa sim had iPhone ni wachina.
Huyo USA anamiliki tu viwanda then huvipeleka China kupata cheap labours.
Asa tuone km nyie kenya kuna processors wowote
Sasa nyie mbona mmeshindwa hata ku export product zenu? Hebu taja kampuni za china zinazounda processors
 
Hata hiyo TANELEC is owned by Kenyans
Sema kina ubia na Wakenya sio cha mkenya, kiwanda cha serikali hicho, muwekezaji amekuta kila kitu kuanzia premises mpaka mitambo, yeye kaja na running capital tu tena terms of agreements hazimpi status of ownership, yeye ni kama mpangaji tu time yoyote serikali ikitaka inamtimua
 
assembling, ndicho Kenya walichokifanya, parts like diodes,smd, na chip zote mmeagiza, MEFI nyie
Nashangaa sana misifa tele na assembly ni 5% of the total labour 95% ipo kwa design, software and manufacturing parts.
Yaani heri tu ununue ikiwa assembled utapata bei nzuri..Tena hakuna masomo yeyote utapata kwa assembly..Ni kungamisha tu kama baiskeli
 
Eti masomo haihitajiki kufanya assembling, hio ni upuzi. Nikiletea huyu mjinga components za computer bila kumfunza nini ndio nini na nini inaunganishwa na nini kutumia screw gani au powertool gani huyu ng'ombe ataweza kuunganisha kweli? Ama ataishia kuunganisha upuzi tu. Lazima upate masomo ndio uunganishe. Hii sio kupika mandazi ile mumezoea huko tandale, hii kazi hamuwezani nayo. Nendeni mupike mandazi huko
 
Interesting
Tabureti made in kenya
😁
 
Watanzania wivu itawamaliza.
All the government is doing is promoting local capacity in future we will be at an advanced level. Remember Kenya has digital Economy blueprint.
The same thing is happening across all sectors of the government .Most of the programs the government is using are now being developed Locally .By 2030 kenya will be a force to reckon with ,in the ICT sector.watch this space
 
This is great stuff!
 
This is great stuff!
Kweli kabisa, huyo ni Sec. General wa UN, Ban Ki Moon akitumia laptop ya Taifa, Made in Kenya. Muda sio mrefu watakuja na porojo zao, eti kwamba ni photoshop. [emoji1]
 

Unahitaji Elimu gani kuunganisha vifaa vya simu mzee? Yaani kupachika circuit mahala pake, Mike, speaker, Vibration na charging system? Si ni kiasi cha kupachika tu mzee? Kwamba hujawahi cheza na vidude hivi utotoni Kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…