Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Sio kama hatuwez fanya maana tusingekuwa na assembly industry hapa ya super doll.Tunafanya assembling ambayo nyie hamwezi fanya
Bali bado sector ya viwanda haijakuwa ila usiseme hatuwez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kama hatuwez fanya maana tusingekuwa na assembly industry hapa ya super doll.Tunafanya assembling ambayo nyie hamwezi fanya
Tanzania inafanya assembling ya electricity meters, zote zinazalishwa TanzaniaTunafanya assembling ambayo nyie hamwezi fanya
Sasa nyie mbona mmeshindwa hata ku export product zenu? Hebu taja kampuni za china zinazounda processorsKumbuka processors wa sim had iPhone ni wachina.
Huyo USA anamiliki tu viwanda then huvipeleka China kupata cheap labours.
Asa tuone km nyie kenya kuna processors wowote
Hata hiyo TANELEC is owned by KenyansTanzania inafanya assembling ya electricity meters, zote zinazalishwa Tanzania
Sema kina ubia na Wakenya sio cha mkenya, kiwanda cha serikali hicho, muwekezaji amekuta kila kitu kuanzia premises mpaka mitambo, yeye kaja na running capital tu tena terms of agreements hazimpi status of ownership, yeye ni kama mpangaji tu time yoyote serikali ikitaka inamtimuaHata hiyo TANELEC is owned by Kenyans
you don't think that 70% ownership is pretty significant?
Nashangaa sana misifa tele na assembly ni 5% of the total labour 95% ipo kwa design, software and manufacturing parts.assembling, ndicho Kenya walichokifanya, parts like diodes,smd, na chip zote mmeagiza, MEFI nyie
Watanzania wivu itawamaliza.Nashangaa sana misifa tele na assembly ni 5% of the total labour 95% ipo kwa design, software and manufacturing parts.
Yaani heri tu ununue ikiwa assembled utapata bei nzuri..Tena hakuna masomo yeyote utapata kwa assembly..Ni kungamisha tu kama baiskeli
This is great stuff!Don't mind the irrelevant buggers. I trust JKUAT in technological matters, although I am an UoN alumni. Kuna zile laptop za Taifa kutoka JKUAT, guess who owns one?Secretary General wa U.N. Ban Ki Moon, na laptop ya Taifa, Made in Kenya! Hawa vinyangarika na kelele zao ni wa kupuuzwa tu.![]()
Kweli kabisa, huyo ni Sec. General wa UN, Ban Ki Moon akitumia laptop ya Taifa, Made in Kenya. Muda sio mrefu watakuja na porojo zao, eti kwamba ni photoshop. [emoji1]This is great stuff!
Eti masomo haihitajiki kufanya assembling, hio ni upuzi. Nikiletea huyu mjinga components za computer bila kumfunza nini ndio nini na nini inaunganishwa na nini kutumia screw gani au powertool gani huyu ng'ombe ataweza kuunganisha kweli? Ama ataishia kuunganisha upuzi tu. Lazima upate masomo ndio uunganishe. Hii sio kupika mandazi ile mumezoea huko tandale, hii kazi hamuwezani nayo. Nendeni mupike mandazi huko