University za Kenya zitatengeneza tablets zaidi ya elfu mia moja sitini kwa sababu ya kuhesabu watu

Unahitaji Elimu gani kuunganisha vifaa vya simu mzee? Yaani kupachika circuit mahala pake, Mike, speaker, Vibration na charging system? Si ni kiasi cha kupachika tu mzee? Kwamba hujawahi cheza na vidude hivi utotoni Kwako?
Si kupachika tu Kama unavyo sema hata Kama uko na all parts .Lazima uwe na technical know how ya ku assemble na uwe na background ya vifaa vya Electroniki.
Kwa mfano Most parts zitakuwa soldered kwa motherboard. lakini Kama hujui venye Zina work you will end up short circuiting .
 
Hehe unaishi enzi za 90's when Ram, sijui bios chip, disk video card, etc were separate components. Leo ni SOC design, system on chip..Kila kitu kipo kwa chip moja tu, unaunganisha camera na mic bas kwisha
 
Sasa nyie mbona mmeshindwa hata ku export product zenu? Hebu taja kampuni za china zinazounda processors
Duuuh kwanza hujui nini nimezungumzia.
Hata maana ya processor hujui.
Nimekwambia China ndio processors wakubwa wa sim hadi za iPhone.
Americans wao wanamiliki tu viwanda ila processors wa hizo bidhaa ni 80% chinese skilled cheap Labours.
Umenielewa hapo?!
Halafu processor ina maana pana,ukienda upande wa pili wa maana ya processor ni kitu kinacho assist shughuli flani tuseme ni machine tu.
Wewe hapo reli yenu ya sgr imetengenezwa na processors za Chinese skilled labours.
Mnajifanya mnajua kumbe nothing you know.
Asa nyie tuone kama mna processors ambao ni skilled labours kama walivyo wachina.
 
OKAY SIJUI MAANA YA PROCESSORS(VICHAKATUZI) HEBU NAWEWE NIAMBIE MNANINI LA KUJIVUNIA KWENYE TECHNOLOGY TANZANIA. HATA KU EXPORT GOODS MNASHINDWA. YAANI HATA BIDHAA ZENU KUFANYIA PACKAGE MNAFELI VIBAYA MUNO.
 
you mean they are going to get the Chinese make the parts so they can install the needed softwares! Kudos kenyas firm
 
Wewe kama article ndogo kama hio huwezi soma ukaelewa basi una matatizo ya akili.
Okay Squidward tentacles, here is what the article stated " has contracted two local universities to SUPPLY it with 164,700 digital tablets, also they can ASSEMBLE the devices in the two universities and finally JKUAT and Moi University will SUPPLY the agency with", unless SUPPLY and ASSEMBLE has new meanings I stand NOT corrected
 
Tangu lini maana ya assembling ikawa ni kuinstall software? Wacha ujinga. Kuinstall software hata mtoto wa miaka tatu anaeza fanya. Wacha madharau.
 
Tangu lini maana ya assembling ikawa ni kuinstall software? Wacha ujinga. Kuinstall software hata mtoto wa miaka tatu anaeza fanya. Wacha madharau.
with instructions from the manufacturer even a 2 year old can assemble a tablet. This is redundant and your government is willingly corrupting itself.
 
with instructions from the manufacturer even a 2 year old can assemble a tablet. This is redundant and your government is willingly corrupting itself.
Wacha ung'ombe. Kwa hivyo unadhani mtu anaweza kuassemble kwa kutumia mkono bila tools? Ng'ombe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…