Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Unleashed Vol. 1 Fikira tofauti za mabadiliko ni mfululizo wa makala sita (moja ni ya Rev. Kishoka) ambazo zote zina lengo la kuzidi kuchochea mabadiliko ya fikra ambayo hutangulia mabadiliko ya kura. Makala hizi zote zinaweza kuchapwa na gazeti lolote la Tanzania bila kubadili maudhui yake au jina la mtunzi. Makala zote zinapotumika kwenye magazeti zihakikishe zinabakia jina la Mtunzi na vile vile kutoa anuani ya barua pepe iliyo chini ya kila makala.
NB: Unaweza kuangalia moja moja kama zilivyohapa au kuzichukua kama sanduku moja la .RAR na ukalifungue kujisomea kwa raha zako. Ukiweza sambaza kwa wale wanaoweza kuzisoma!
Katika volume ya pili mojawapo ya mada nilizozifanyia kazi kwa muda mrefu ni ile ya "UKOSOAJI WA WAZI WA CHADEMA - 1).
- Alichosema Mwakyembe ndiyo kauli ya Vita
- Kuulewa mfumo wa Utawala wa Kifisadi (MUK) 207
- Na Wapo Machangudoa wa Ufisadi
- Tuache kumsingizia Mungu, tujiandae kwa majanga
- Usalama wa Taifa lazima ubadlike, kama tunataka tusalimike
- Ukahaba wetu unatuponza
NB: Unaweza kuangalia moja moja kama zilivyohapa au kuzichukua kama sanduku moja la .RAR na ukalifungue kujisomea kwa raha zako. Ukiweza sambaza kwa wale wanaoweza kuzisoma!
Katika volume ya pili mojawapo ya mada nilizozifanyia kazi kwa muda mrefu ni ile ya "UKOSOAJI WA WAZI WA CHADEMA - 1).
Attachments
-
ALICHOSEMA MWAKYEMBE NDIO KAULI YA VITA.doc43 KB · Views: 172
-
KUUELEWA MFUMO WA UTAWALA WA KIFISADI-207.doc70.5 KB · Views: 182
-
NA WAPO MACHANGUDOA WA UFISADI.doc58 KB · Views: 182
-
TUACHE KUMSINGIZIA MUNGU.doc54.5 KB · Views: 272
-
USALAMA WA TAIFA NI LAZIMA UBADILIKE.doc47 KB · Views: 337
-
Unleashed-Vol-1.rar100.1 KB · Views: 61
-
Unleashed-Vol-1.zip84.9 KB · Views: 38
-
Ukahaba Wetu Unatuponza.doc45.5 KB · Views: 120
Last edited by a moderator: