Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
kweli wakenya wengi wamejawa na hofu,ila mungu aepushe mbali machafukoNina wasiwasi damu nyingi sana kumwagika. Wengi wameikimbia Nairobi na wengine hata kuikimbia Kenya na kuingia Tanzania kwa wingi. Wakenya wengi wana hofu kubwa kuhusu uchaguzi huu kwamba panga zitacharangana vibaya sana, Mwenyezi Mungu apishilie mbali. Chaguzi za hivi zinatisha sana.