Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
kweli wakenya wengi wamejawa na hofu,ila mungu aepushe mbali machafukoNina wasiwasi damu nyingi sana kumwagika. Wengi wameikimbia Nairobi na wengine hata kuikimbia Kenya na kuingia Tanzania kwa wingi. Wakenya wengi wana hofu kubwa kuhusu uchaguzi huu kwamba panga zitacharangana vibaya sana, Mwenyezi Mungu apishilie mbali. Chaguzi za hivi zinatisha sana.
You are a blood monger arent you?Nina wasiwasi damu nyingi sana kumwagika. Wengi wameikimbia Nairobi na wengine hata kuikimbia Kenya na kuingia Tanzania kwa wingi. Wakenya wengi wana hofu kubwa kuhusu uchaguzi huu kwamba panga zitacharangana vibaya sana, Mwenyezi Mungu apishilie mbali. Chaguzi za hivi zinatisha sana.
Updates: IEBC imesema voter turnout ni 40% as at 2:00 pm. Wacha Mulisaa aandike na Kiswahiliupdates pleasee
Nyie watu wamangovi kwa sasa mnakura ngapiBad news over marked papers. View attachment 561030
And how many tallying centres are out of kenyaWe have a total of 12 tallying centres in Kenya, in Kenya and the clouds. We will keep you updated with verified results from our agents throughout the night. Keep it here.