Unofficial Election results: NASA tallying center

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Pata matokeo ya uchaguzi kwa kujiunga na NASA tallying center. Simu yako inabidi iwe na Application ya Telegram. Click the link and you will be connected direct to the tallying center. Please share.
Share the link with your friends and all contacts. This will be the official telegram tally relay centre.

NASA Tallying Centre
The Parallel Tallying Channel. Giving By The Second Results As They Stream
NASA Tallying Centre
 
Nili wahaidi kuwaletea matokeo kutoka kwenye tallying center yetu ya NASA. Lakini nahona kwa wenye App ya Telegram hiyo itakuwa njia rahisi. Lakini pia nitakuwa nikiweka matokeo kadri tutavyo yapata kupita hii page.
 
I need the link to Jubilee tallying centre.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza kamdomo tupo kazini. Usilihamshe dude. Mimi nilihaidi kuwaletea matokeo ya NASA. Wapo wengi wenye connection na Jubilee hapa tupokikazi zaidi. Kuna information nyingi za ndani nimepata na mbaya lakini nisinge penda kuzitengenezea thread. Nachojua huu uchaguzi utaisha salama. Lakini naza Jubilee zitapatikana humu.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haya Mzee , all the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikimbia hapa nikidhani NASA wameanza kuhesabu kura hata kabla hazijaanza kupigwa! Hawa jamaa ni machizi hilo si jambo kubwa kwao. Tayari wameshajiona wako state house, wakati kura sisi ndo tunazo.
 
Okay then!!!
 
mi nawaombea mmalize salama ila napenda raila omoro odinga achukue maana kapigana sana kama maalimu zenji
 
Nina wasiwasi damu nyingi sana kumwagika. Wengi wameikimbia Nairobi na wengine hata kuikimbia Kenya na kuingia Tanzania kwa wingi. Wakenya wengi wana hofu kubwa kuhusu uchaguzi huu kwamba panga zitacharangana vibaya sana, Mwenyezi Mungu apishilie mbali. Chaguzi za hivi zinatisha sana.
 
Haha its never that serious. Usihofu. Mambo si mabaya sana
 
Nilikimbia hapa nikidhani NASA wameanza kuhesabu kura hata kabla hazijaanza kupigwa! Hawa jamaa ni machizi hilo si jambo kubwa kwao. Tayari wameshajiona wako state house, wakati kura sisi ndo tunazo.
Mazee nimeona sehemu NASA wanalalamika eti IECB wamefukuza wafanyakazi maeneo ambayo ni ngome yao
 
Haha its never that serious. Usihofu. Mambo si mabaya sana
Mazee sio mazuri sana, ila nikiona jinsi watu wanavyokimbia naamini hakutakuwa na fujo. Watu tayar wanaogopa kufa hivyo hawatapigana.
 
Back
Top Bottom