Yeah, kwa wakristo unaruhusiwa tu kumpiga chini ukimfumania mkeo ana-do na mtu mwingine, ila maandiko yako silent if converse is the case, teh! Anyway, kufanya nje ya ndoa ni dhambi, tafakari.Mwanaume kufumaniwa ni ushujaa na urijali: Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
Mwanamke kufumaniwa ni dhambi na fedheha kubwa. Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja tu!
Ukimfumania mwanamke, piga chini.....tafuta mwingine.
Wanawake acheni tabia mbaya ya kuwafuatilia wanaume zenu, mnataka hao wanawake lukuki wasio na wanaume nao wasifaidi? Uchoyo tuuu! Waone kwanza!
Mwanaume kufumaniwa ni ushujaa na urijali: Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
Mwanamke kufumaniwa ni dhambi na fedheha kubwa. Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja tu!
Ukimfumania mwanamke, piga chini.....tafuta mwingine.
Wanawake acheni tabia mbaya ya kuwafuatilia wanaume zenu, mnataka hao wanawake lukuki wasio na wanaume nao wasifaidi? Uchoyo tuuu! Waone kwanza!
kuna sred naiandaa na ikiwa tayari nitalembea hewani, nimeona hapa JF kuna wimbi la kulinganisha wanaume na wanawake. Lazima tukubali bana kwamba wanaume na wanawake ni tofauti kihisia, kimaumbile, kimtazamo, kijinsia nakazalika halkazalika, na tukikubali ukweli huu na kila mtu akakubali kubeba nafasi yake katika jamii, hapo dunia itakuwa paradiso ndogo. Amen!
fafanua.Mwingine huyo!
fafanua.
sayansi inathibitisha, maumbile yanathibitisha , imani zinathibitisha . Beijing peke yake ndio inakanusha tena bila sabab za msingi. naomba uniconvince ili niamini adhawaiziWanaohalalisha mambo ya ajabu kwa visingizio vya tofauti kati ya mwanamke na mwanaume!
Ningekukomvinsi sema baada ya somo utaishia kua king'ang'anizi so bora nikuache uendelee kupotoka!sayansi inathibitisha, maumbile yanathibitisha , imani zinathibitisha . Beijing peke yake ndio inakanusha tena bila sabab za msingi. naomba uniconvince ili niamini adhawaizi
katika principle zangu za maisha hakuna neno king'ang'anizi.Ningekukomvinsi sema baada ya somo utaishia kua king'ang'anizi so bora nikuache uendelee kupotoka!
katika principle zangu za maisha hakuna neno king'ang'anizi.
bek to ze topik: kinachoshangaza ni kwamba mnaona kabisa matiti yamewekwa kifuani kwa mwanamke halaf mnataka mwanaume ndio anyonyeshe mtoto. sasa hapa ndio nafeli somo!
Sielewi nini kinachotusababisha tuwe na ubinafsi Fikiria weweunamfumania mkeo kwanza usipo muua utamua uliyemkuta naye au kumdhuru au kitu chochote kinachokaribia hapo!!Sasa inapokuja kwa Wewe mkeo/mpenzi wako kakufuma kwanza utafuta visingizio pili utaki kuukubali ukweli kama umefumaniwa mwisho uishia kusema mke/mpenzi wangu twende tukayamalizie nyumbani!!Nauliza hapa nivigezo gani hutumika kujiona wewe makosa kwako nibahati mbaya!??
Mnyonyeshe nini?Vidole eeh?Swala hapa ni nyie kuona mna haki ya kufanyia wanawake ushenzi ila wao hawana!
Kamanda naomba umpe Liz nafasi apumzike unamuandama kila thread ? you have been warned.kabla kuendelea labda nikuulize, una moyo wa huruma?, kuna suala litafatia
kabla kuendelea labda nikuulize, una moyo wa huruma?, kuna suala litafatia
Uporoto dearest you have been missed!Achana na Kloro anadhani bado anapatikana famasi na mimi namjulisha hata kwa bei ya bure chini ya kaunta hamna anaemtaka!Kamanda naomba umpe Liz nafasi apumzike unamuandama kila thread ? you have been warned.
hehehe kamanda JF bila lizzy ni sawa na ugoro bila chafya, yaani hainogi. halaf michelle umempeleka wapi?Kamanda naomba umpe Liz nafasi apumzike unamuandama kila thread ? you have been warned.
suala la nyongeza cancelled! lakini kuna point nilitaka kukupa kama ungejibu vere honest.Kwa nani?Labda kwa mwana/wanangu tu!Kwa wa aina yako sina kabisa!Mtu akifanya mchezo nampiga na mpini wa kichwa!Enhe...........?