KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Sielewi nini kinachotusababisha tuwe na ubinafsi Fikiria weweunamfumania mkeo kwanza usipo muua utamua uliyemkuta naye au kumdhuru au kitu chochote kinachokaribia hapo!!Sasa inapokuja kwa Wewe mkeo/mpenzi wako kakufuma kwanza utafuta visingizio pili utaki kuukubali ukweli kama umefumaniwa mwisho uishia kusema mke/mpenzi wangu twende tukayamalizie nyumbani!!Nauliza hapa nivigezo gani hutumika kujiona wewe makosa kwako nibahati mbaya!??