Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii.
Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha.
Kibegi kimekuwa kikifatiliwa mitandaoni kuliko taarifa za wiki ya wananchi na ule usajili wa namba 6.
Hakika Simba nimewavulia kofia, natamani timu yangu ya Namungo iige hii.