Unpopular Opinion: Kibegi cha jezi za Simba kimefunika kelele zote za Yanga kuanzia Wiki ya Mwananchi hadi Usajili wao

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii.

Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha.

Kibegi kimekuwa kikifatiliwa mitandaoni kuliko taarifa za wiki ya wananchi na ule usajili wa namba 6.

Hakika Simba nimewavulia kofia, natamani timu yangu ya Namungo iige hii.

 
Kushangilia ki begi lazima uwe na akili ndogo.
Watu wanafanya mambo yao wewe unaleta kibegi ?!.

Timu yenyewe imeenda Uturuki kwa mafungu ka nyanya!!. Upumbavu huu
 
Kushangilia ki begi lazima uwe na akili ndogo.
Watu wanafanya mambo yao wewe unaleta kibegi ?!.

Timu yenyewe imeenda Uturuki kwa mafungu ka nyanya!!. Upumbavu huu
Mana kwanza ncheke. Kuna timu bado siku tatu inacheza kwenye siku yao na wachezaji muhimu hata hawajulikani wapo hai ama wamekufa maana kambini hawapo na mtaa ni hawaonekani. Bangala anatafutwa, Shabani Djuma amepotea, Jigi jiara haeleweki, Aucho simu imeisha chaji, Azizi Ki kawaambia hatii pua yake kambini mpaka wammalizie pesa yake ya usajiri vinginevo watafikishana mbali, na mbaya zaidi anajuta kwanini hakwenda kucheza simba club inayojielewa.. Yaani tafrani tuu.
 
Wanafurahia kusajili Onyango wao
 
Yanga tumeshatambulisha begi tunazo mtaani
Jersey za ikulu
Nyie bado mnazurula na jersey hadi leo
 
 

Attachments

  • 20230717_100551.jpg
    75.3 KB · Views: 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ