Unpopular Opinion: Liverpool hatotwaa taji lingine msimu huu

Hongera kwa utabiri mzuri nacheka saaaaana Hahahaha
 
Baada ya tathimini umegundua nini?
 
Ukweli upi wewe?
 
Mchawi ungeweka namba yako ya simu wateja tukutafute[emoji1787][emoji1787]
 
As long Kloop ataendelea na Liverpool atachukua makombe labda ahame
 
Nawakubali Liver pia,japo mimi mnazi wa Madrid . Liver kwenye swala kukubeba UEFA mbele ya Madrid wasahau. Naijua Madrrid wakifika maeneo ya kuanzia robo final wanakuwa wengine kabisa. Ndoo ya UEFA mikononi mwa Madrid
 
Uzuri kocha huyu huyu wa Madrid anakumbu kumbu nzuri sana kilichomkuta kwenye fainali ya 2005 dhidi ya Liverpool. Japo hakuwa hakuwa Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…