Unpopular opinion: Mpole anajua Kuliko Samatta

Unpopular opinion: Mpole anajua Kuliko Samatta

Samatta huyuhuyu aliyecheza tout puissant mazembe, Krc genk, Aston villa, fenerhbache na sasa royal antwerp unamlinganisha na mchezaji wa umiseta? Ili samatta uone kazi yake apate wenzake wa namna yake!

MPENI HESHIMA Mfungaji bora wa CAF, na mchezaji bora ligi ya ubelgiji
sema aliyewahi kuwa ..kwani ss hv ni mfungaji bora...kwa kifupi samata imebaki story tu...sasa hv ni mchezaji wa kawaida sana
 
Back
Top Bottom