Katika kipindi ambacho majeraha bado ni mabichi na hasira ni kali, swala la kusikia taarifa nyingine ama ufafanuzi kutoka serikalini linaleta kichefuchefu. Kwa haraka haraka, wengi wetu hatutaki kabisa kusikia chochote kutoka kwa Samia na genge lake.
Lakini tukiangalia kiundani na kimkakati... ufafanuzi wa Msigwa, (whatever that maybe...) ni muhimu sana!
Sio kwa sababu wana majibu ama utetezi wa maana, sio kwasababu watakachosema kitasaidia kupunguza maumivu tuliyonayo kama taifa, ama kuboresha maisha yetu, hapana.
Ila kwa sababu vyovyote vile, ushindi utakua kwa wananchi.
Wakisema wakiri na kukubali yale ambayo Dunia imeshuhudia kupitia report ya CNN watakua wamechemsha karai la mafuta na kujiweka kikaangano wenyewe maana from that point going forward, hawatoweza kukwepa kuwajibishwa, iwe kitaifa ama kimataifa.
Wakisema wakatae na ku-discredit ripoti ya CNN watakua wamechokoza nyuki.
Matokeo yake?
Serikali nyingi duniani, including ya Samia, wanashindwa kutambua kwamba kukana tuhuma hakuwezi kufuta ushahidi ambayo tayari upo. Nigeria walipokanusha mauaji ya Lekki Toll Gate mwaka 2020, kelele zao ziliamsha uchunguzi wa kina zaidi kutoka CNN na mashirika mengine ya binafsi. Na hivyo ndivyo ambavyo itakua hapa kwetu. Kadiri wanavyokataa au kupuuzia, ndivyo msukumo wakutafuta ushahidi zaidi unavyoongezeka na sio kupungua.
Jingine ni kwamba, the internet doesn't forget!!! Kwahiyo kila tamko la serikali ni ushahidi wa kesho.
Press wanazofanya, tweets, Instagram posts, vyote vinaingia kwenye kumbukumbu. Myanmar na Nigeria zilijifunza hili the hard way baada ya kauli za viongozi wakikanusha yaliyokua yanaendelea zilipothibitishwa kuwa za uongo, na kugeuka ushahidi wa makosa ya utawala.
Kesho, na kesho kutwa kama dunia itasimama na kuwawajibisha Samia na genge lake, matamko ya leo ndio yatakayotumiwa kama ushahidi, so...wacha waendelee kuongea bila kufikiria, kujitetea na kukanusha mambo ambayo yanahitaji utimamu kidogo tu kung'amua ukweli wake.
J. Cliff hakukosea alivyosema “The harder they come, the harder they fall.”
Anguko lao linakuja!

- A deeper investigation maana CNN haiwezi kukubali kuchafuliwa.
- Ushirikiano na ushahidi wa ziada kutoka kwa mashirika mengine ya kimataifa.
- Dunia kuikazia macho Tanzania zaidi na zaidi.
- Kukosa fedha za misaada na mikopo.
- Viongozi wa nchi kunyimwa kusafiri kwenye nchi fulani fulani.