Unruly magistrate and DPP office prosecutors

Unruly magistrate and DPP office prosecutors

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Najiuliza swali hili: Hawa mawakili wawili aliowasema Mnyika Kaduchi na Nchimbi“ together with this Magistrate of Kisutu, name withheld for judicial ethics) kuwa wana mchezo wa kuchelewesha haki kuwatesa akina Mbowe na matiko (na huko nyuma Lema)si wana kosa hili ambalo aliliainisha wakili mashuhuri huko Kenya: "aren’t these officers guilty of abuse of office charge for abusing their investigative, crime reading and prosecutorial powers which acts tend to lower the authority and dignity of the court and DPP's office" ?

Huko nyuma jaji wa mahakama ya Rufaa Bernard Luanda katika kesi ya Lema, alikemea vikali tabia hii ya kuchezea haki na hadhi ya mahakama, akaonya tabia hii ikome. Wamerudia ushetani huo huo!

Mahakama ya Rufani si ndio imepewa/imepata mwanya wa kubatilisha ile rule kuwa uki lodge notice of appeal the High court ceases to have jurisdiction on the case pending in that court? Mwanahabari Huru
 
Kosa la awali ni abuse ya mahakama kwa kuidanganya.
Umepewa dhamana ukaenda nje ya nchi bila kufuata taratibu au kwa deceive mahakama...mbaya zaidi ukapiga na selfie kuonesha kwamba hubabaishwi....Ukaadhibiwa sasa unaanza kudai mawakili wa Serikali wanaichezea mahakama.

Tabia alioonesha mboe ni tabia mbovu ambayo hutumiwa na watu wengi kuchelewesha kesi ...hii ndio abuse ya mahakama.

Mbowe angefuata taratibu asingefutiwa dhamana na wala DPP asingehangaika na hizo technicalities za sasa.

pambaneni kwa hoja mahakamani na wala msisake huruma ya wananchi wasiojua sheria....kwani hiyo pia ni abuse ya maamuzi ya mahakama(yaani kuishinikiza mahakama iamue nje ya chumba cha mahakama)
 
hujui kitu katika haya... just imba mapambio ya ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 
hujui kitu katika haya... just imba mapambio ya ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Jibu hoja yangu hapo juu ...msitake kuishinikiza mahakama iamue mpendavyo halafu muanze kujisifia eti mawakili wasomi.
 
CCM wamesikitika sana kuona MBOWE ANAKula Sherehe ya KUZALIWA YESY(Mungu) akiwa ndani ,watoto wake wanalia huku watoto wa Kadushi,Nchimbi na lile lishetani lingine wakila keki na kufurahia udhalimu wa baba zao.

Mungu hupatiliza wana uovu wa Baba zao hata kizazi cha Nne
 
Back
Top Bottom