- Thread starter
- #21
Hiyo Azimio nyingine inaletwa na nani? Na unajipa uhakika gani kuwa haitakuwa na changamoto ya kupingwa pia na wajumbe?
1. Kupigania haki ni wajibu wa Kila mwenye kujitambua.
2. Yameshaletwa maazimio kadhaa ya kusimamisha vita yaliyokataliwa na Marekani peke yake.
3. Hili lilikuwa lake la kwanza la kizezeta zezeta alilokuwa ameleta Sasa.
4. Zingatia hili #3 limepingwa na nchi zote za kiarabu + China na Russia.
5. Linalokuja haijalishi litapita au halitapita ila litakuwa na maana kamili ya kutaka kusimamisha vita.
6. Lilikuwa lipigiwe kura leo limeahirishwa Hadi jumatatu.
7. Jipya linaletwa na wengine ila siyo huyu ndumila kutatu.