Hiyo Azimio nyingine inaletwa na nani? Na unajipa uhakika gani kuwa haitakuwa na changamoto ya kupingwa pia na wajumbe?
No. 5, vp umeshaisoma na kuona ndiyo bora au unawaza tu.1. Kupigania haki ni wajibu wa Kila mwenye kujitambua.
2. Yameshaletwa maazimio kadhaa ya kusimamisha vita yaliyokataliwa na Marekani peke yake.
3. Hili lilikuwa lake la kwanza la kizezeta zezeta alilokuwa ameleta Sasa.
4. Zingatia hili #3 limepingwa na nchi zote za kiarabu + China na Russia.
5. Linalokuja haijalishi litapita au halitapita ila litakuwa na maana kamili ya kutaka kusimamisha vita.
6. Lilikuwa lipigiwe kura leo limeahirishwa Hadi jumatatu.
7. Jipya linaletwa na wengine ila siyo huyu ndumila kutatu.
Ingekuwa vizuri ukarudi huko huko
Nakuona umeshika fimbo za kutosha.Anza kujishanga wewe kwa kuota kizezezeta zezeta kutokea anga za juu. Bange siyo sigara!
Nakuona umeshika fimbo za kutosha.
No. 5, vp umeshaisoma na kuona ndiyo bora au unawaza tu.
HAMAS walianzisha nini wewe...?Kwanini wasikemewe Hamas waliolianzisha?
Ndio anachokifanya Netanyahu, kuifuta Hamas kwenye uso wa dunia.HAMAS walianzisha nini wewe...?
HAMAS wanaendeleza harakati za ukombozi wa Taifa lao ( U.N wanatambua hili).
HAMAS hawataacha kuipambania Ardhi yao kutoka kwenye mikono ya Israel, labda Israel iifutilie mbali Kizazi cha hHAMAS.
Hiyo Azimio nyingine inaletwa na nani? Na unajipa uhakika gani kuwa haitakuwa na changamoto ya kupingwa pia na wajumbe?