Ni poa sana ila tusimtishe. 13/2 anaweza kujikuta anapata mental block na kutema mzigo mbele ya kasisi. Kwa sasa tumwambie tu kwamba mambo yooote ni mswano kama kuangalia mwisho wa bahari!!! Yeye mwenyewe atakuja kutujuvya tu hata kwa PM. Pia tumwombee, malengo yake ni mazuri sana hata kama yataishia kuwa kama Ujamaa wa Nyerere!!
Hapo umenena wangu...lakini mbona hata hiyo security yenywe siku hizi inaonekana kupotelea kwa small houses! na bado sie tumo tuu. I think here our security master is only "Jesus Christ" kwa wenye imani kama yangu.
Hapo umenena wangu...lakini mbona hata hiyo security yenywe siku hizi inaonekana kupotelea kwa small houses! na bado sie tumo tuu. I think here our security master is only "Jesus Christ" kwa wenye imani kama yangu.
Penny, don't be naive sister! Hapa mchezo ni "kula na wewe uliwe". Usitegemee security wakati wewe huitoi! Kwanza mwanamume hana demand kubwa kwa mke wake. Ni kidogo tu. Maneno machache sana lakini yale matamu na huduma ya kumwaga. Akiondoka huyo au aki-break your hear ujue karogwa. Mnatoa hivyo bila kuwapimia?
UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it a lots
Lugha za watu kama zinatupiga chenga ni vizuri kuandika kwa lugha yetu tu.
...e bana weeh,
hebu oa kwanza upate 'Cetificate' ya Ndoa. (Kumradhi kama ushaoa!)
...wenzio tulishamaliza degree na kukabidhi 'thesis' kwa Masters' study na sasa tunakimbizana na 'dissertation' tupate huo udakitari wa falsafa za Ndoa lakini wapi, Ndoa somo nyie!
Hivi unajua kwanini wanaume wengi hufa kabla ya wake zao?
Bibie umesahau kaneno kamoja hapo "Baadhi" ili uwe kwenye safe side!!Kwa kweli wanaume mmezidi kwa kutokuwa serious
...!take them to court!...all unserious men should be taken to court
hehehe!Mhh G, sasa mapuziko gani tena? Itabidi sasa tuombe msaada kwa wahusika ili ulazimishwe kwenda au tukutafutie nusu kaputi laini laini ili uwe kama umepata ka- wine kidogo?
Tunapeleka kortini chanzo au matokeo? Nahofia unaweza kuwa mtego wa panya!
.....Ni kweli baadhi ya wanaume hawapo serious, lakini kama mwanamke una msimamo na maisha yako mie sioni sababu ya kufa na pressure kwa ajili ya mwanaume ambaye mmekutana naye wote mkiwa na meno 32.
Kweli unampenda mumeo lakini isifike kiasi cha yeye kukutesa hadi ufikie kuumwa kwa ajili yake, maisha yenyewe mafupi haya na mtu unaishi mara moja tu.
Lugha za watu kama zinatupiga chenga ni vizuri kuandika kwa lugha yetu tu.