Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Ni poa sana ila tusimtishe. 13/2 anaweza kujikuta anapata mental block na kutema mzigo mbele ya kasisi. Kwa sasa tumwambie tu kwamba mambo yooote ni mswano kama kuangalia mwisho wa bahari!!! Yeye mwenyewe atakuja kutujuvya tu hata kwa PM. Pia tumwombee, malengo yake ni mazuri sana hata kama yataishia kuwa kama Ujamaa wa Nyerere!!
...mkumbusheni 14th Feb ni Valentines day, asisahau kununua japo Bouquet la maua... akishaanza kusahau-sahau kwenye ndoa cha mto atakiona!