Until we meet again in paradise, bye!

Status
Not open for further replies.
Kila nikikomenti katika nyuzi zako baadhi naona upo kimya ndugu ,nilipata kuona jina lako katika PM zangu bahati mbaya niliyo nayo ni kuwa siwezi kusoma jumbe katika kitufe changu Cha private message ni shida niko nayo Sasa mwaka unaenda .

Naomba Kama hautajali tena kabla ya kufanya lolote juu yako naomba tuzungumze tena mdogo wangu .

Niwekee namba yako hapa nikupigie Sasa .
Nakuomba Sana Vintage1q
 
Unaumwa nini labda?
 
Shida nini?
 
Hii thread/message inanipa wazimu a friend of mine tulikuwa pamoja three days ago .. Jana kanambia ni Bora afe kuliko aendelee kuisho huki akilia Kwa uchungu..

Leo tokea asubuhi mpaka hivi sasa hajaonekana , .. Nina mixed feelings hofu pamoja na majonzi again nakutana na Uzi kama huu... Damn
 
Allah anafanya nini asimuokoe mpaka sisi tuombe kwanza?
Hata wewe unaposaidia sehemu ni yeye kakupa fikra na moyo wa kumsaidia, kama unavyoona ndugu yetu anaona mbele Giza na kwako itafika na hutokuwa na msaada ila wake pekee, na hata akifa huko paradise anakoamini ni kwa Allah pia.
 
Analilia nini? Ulimuuliza?
 
Duh wanao mjua huyu member hebu waokoe jahazi hilo naimani jamaa anapitia mengi na atakuwa amesha shirikisha members kadhaa hapa jf fanyeni kitu tafadhari.
 
Allah atakuwa mvivu huyo 🤣.

Ila, allah aliyeshindwa kuvilinda vitoto vya Gaza ndo ataweza kumlinda/ kumsaidia mtu wa JF?

Hapo ndo ujue dini ni magumashi tu. Hakuna cha allah, mtume, wala yesu.
Sawa onyesha wewe msaada unaohitajika kwake kwasasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…