- Thread starter
- #141
Bado nawahakikishia kwamba mimi si Vintage1q. Kuna njia nyingi tu ambazo zingetumika kutaka kujua kama hili jambo ni kweli au si kweli. Angejitokeza mtu mmoja aulize yuko wapi na aonane nae na kisha tuendelee kuchat hapa. Akaunti ambayo natumia mimi niliichukua kutoka kwa huyu ndugu. Sikuwa na akaunti JF by then. Nikawa natumia akaunti yake mara nyingi na kaamua kuniachia akafungua nyingine na bila shaka kuna details zinafanana. Nimehuzunika sana. Bado mnayo njia ya kuweza kuthibitisha kama hili nikweli au la

