Until we meet again in paradise, bye!

Until we meet again in paradise, bye!

Status
Not open for further replies.
Tuambie kabisa msiba utakua wapi tuje kufinya mpunga
 
kama ni maswala ya kazi na ajira.. naomba uni pm kama uko tayari.. uje Arusha nikuajili kampun ya utalii .. natafuta operational manager
 
Acha Kudeka Kaka,,Kufa Tu Hautapunguza Chochote Wala Ongeza Chochote Katika Huu Ulimwengu Na Wala Hautakuwa Wa Kwanza Wala Wa Mwisho Kufa,,Maisha Lazima Yaendelee,,Kabla Hujafa Jitahidi Ule Kitimoto Rosti 1½ +Jani Korofi Na Bia Hata 3,,Kwa Maana Safari Ni Ndefu Kushiba Muhimu.
 
kaka kaka jibu ujumbe wangu pm plse...........wikiijayo tuonane vintage usifanyechochote. Plse nijibu ujumbe kwanza.
Kwahiyo kaka jambazi ukaanza kujipa msaada kabisa ili kuingiza watu wengine mkenge... JF wabayaaa (kwa sauti ya mwaisa) :KEKWlaugh::KEKWlaugh: ni fezea
 
Dear Friends,

As I prepare to say goodbye, I find myself reflecting on the wonderful moments we've shared together. Each laugh and each discussion we've shared has made my life richer and fuller. I'm grateful beyond words for the love, support, and joy that each of you has brought into my life.

Please know that even though I may not be with you in body, my spirit and the memories we've created together will always remain with you.

Thank you for being my companions on this journey. I hope you find comfort in knowing that I am at peace, and my heart is filled with love for each of you.

Until we meet again,
Vintage1q.
Tafadhali, kabla hujaondoka, nakushauri okoka kwanza, mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako ili huko unakoenda uende mahali pema. wokovu ni kitu halisi na cha muhimu kuliko hata hawa unaowaaga. na tunaokolewa kwa njia ya Yesu Kristo pekee ndiye alimwaga damu kama gharama ya kutuokoa, hakuna wokovu kwa mohamad, kwa maria, yosefu au yeyote, ila kwa Yesu KRisto. ukifa bila kuokoka, unaenda moja kwa moja motoni hivo usifanye mchezo ushauri huu, pls, Mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

sema sala hii:

Bwana Yesu Kristo, mimi ni mwenye dhambi, nahitaji wokovu toka kwako, nahitaji uzima toka kwako, naamini wewe ulitoa kafara la Damu yako kwa ajili ya kulipia ukombozi wangu, hakuna mwingine aliyeninunua ila wewe, natubu dhambi zangu zote (zitaje unazozijua) ninazozijua na nisizozijua, naomba unisafishe kwa Damu yako, futa jina langu katika Kitabu cha hukumu, andika jina langu katika Kitabu cha uzima,kwa Jina lako Takatifu ninaomba, Ameni.

kuanzia sasa umeokoa, maisha yako yapo mikononi mwa Yesu, ishi maisha matakatifu, utamwona Mungu. Mungu akusaidie.
 
Nina imani Mungu wangu atakutunza. Hakuna kitu chochote kitakachokuwa na nguvu ya kuondoa uhai wako. Mungu amekuwa nawe katika nyakati ngumu mno hata kuliko leo. HAWEZI KUKUACHA LEO! Jipe moyo mkuu. Nina imani nitakuona tena. Mungu akulinde rafiki na kaka yangu!
Kaka jambazi ukaendelea kujichatisha.. ukaona ukituwekea kingereza cha Gpt tutanasa kabisa :KEKWlaugh: :KEKWlaugh:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom