Until you love somebody๐Ÿ˜๐Ÿ˜

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Tutafute maisha tuwezavyo ila tusisahau kuishi ya duniani; maana mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Kule ni kuimba, kusifu na kumuabudu Mungu tuu๐Ÿ˜๐Ÿ“Œ



Weekeend murua๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Huko ni mbinguni kwenu ambako hamtaoa wala kuolewa.

Sisi upande wa pili mbinguni kwetu tutapewa mabikira sabini na mbili, isitoshe tumeahidiwa tutapewa mjegejo wenye nguvu na mrefu kuzidi huu wa sasa, ili kuwaridhisha hao mabikira wote sabini na mbili.
 

Basi sawa,

Ila usisahau kuishi ya duniani kikamilifu. Timiza wajibu kadri ya mahitaji ya moyo wako๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Hiyo ndo mbingu Sasa nami nahamia huko silazi damu..๐Ÿคฃ
 
Mama D, kumbe nawee kuna wakati unakua nakafeeling fulan ivi ameiziiiiiingi [emoji23]


( ndio maana huwa nawambia humu ndugu zangu, mwanamke ni mwanamke, HATA AWEJE , kuna wakati anataka kupendwa).


Mwanamke yoyote duniani anapenda, anafurahia na anahitaji kupendwa

Mungu awabariki wanaume wote mnaotimiza hii haja ya mioyo ya wanawake zenu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
hahahahahahahahahahahahahahahhahahahahaa kmmmmmmmmmmmmmmmmk
 
Tutafute maisha tuwezavyo ila tusisahau kuishi ya duniani; maana mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Kule ni kuimba, kusifu na kumuabudu Mungu tuu๐Ÿ˜๐Ÿ“Œ



Weekeend murua๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Ni miongoni mwa maandiko ambayo kila siku ninaomba Mwenyezi MUNGU anisaidie kuelewa. Itakuaje sasa bila kuonana?
 
Fanya maisha yako ufurahie ukiwa hai. Hayo ya baadae mbinguni yana taratibu zake
Ukumbuke kule hatuendi na mwili ila roho

Wacha tuendelee kufurahia uwepo wetu duniani

Ulichopewa wewe leo sijui tu not kwa hili vibe..๐Ÿ˜… ngoja nikusapoti mama D
Your browser is not able to play this audio.
 
stori za mbingu ni stori za wapumbav waliochoka maisha, wanajarbu kujipa faraja kwa mambo yasiyokuwepo, ..masikini mawazo yao yote ni mbingu
 
Kama unanafasi ya kuishi duniani vizuri, ishi; kwa sababu kila siku ipitayo haitajirudia katika maisha yako kamwe; ukiweza kwenda milima ya himalaya, nenda; ukiweza kwenda mbuga za wanyama nenda. Cha muhimu usimfitini mtu ili kufanikisha malengo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ