Until you love somebody😍😍

Until you love somebody😍😍

😍😍😍hili vibe huwezi kupewa hivihivi😂😂 lazima kuna mchango hapo
Ha ha! Mwenye mchango wake na ashukuriwe kwa kufanya kazi nzuri kazi ya kujenga taifa..😜😜
 
Kwa sasa, kwa mbeleni mmmh.....hawa wasanii baadhi yao huwa wako na mambo mob sana (BAADHI YAO)

Maisha ni sasa mbalizi1. As long as wanapendana and they are happy hiyo baadae itajisort yenyewe☺☺

Kila jambo lina wakati wake; uko wakati wa kupenda na upo wakati wa kuacha kupenda😃😃
 
Maisha ni sasa mbalizi1. As long as wanapendana and they are happy hiyo baadae itajisort yenyewe[emoji5][emoji5]

Kila jambo lina wakati wake; uko wakati wa kupenda na upo wakati wa kuacha kupenda[emoji2][emoji2]
Naelewa mama D: Nilitamani sana isingekuwa (wasanii) , si kitu hata hivyo, ni maisha
 
Mbinguni hamna kuoa wala kuolewa. Hilo.

Eeeh, ndio maana ulitumwa duniani uje kuoa na kufanya ya dunia hii kabla hujaenda kupumzika kwa amani🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom