Ha ha! Mwenye mchango wake na ashukuriwe kwa kufanya kazi nzuri kazi ya kujenga taifa..😜😜😍😍😍hili vibe huwezi kupewa hivihivi😂😂 lazima kuna mchango hapo
Haiko mbingun hii..Ukienda pepon ndio utaipata hii..FirdausMbingu hoyeeeee...
Umeanza mkuu..🙄Haiko mbingun hii..Ukienda pepon ndio utaipata hii..Firdaus
Wivu naona mimi..😀Ndio lililobaki hamna namna😃😃😃
Mkuu hwa vimwana 72 hawapew wakorintho...wao ni kusifu na kuabudu.shangwe hizO ziko pepo ya 7 hukoUmeanza mkuu..🙄
Ya dunian ukiyamaliza kikamilif bila kujizuia basi wewe utaishia pale getin mbingun huingiiSasa ya dunia unatakiwa uyamalize kikalifu kwanza ndio uende kufanya ya huko mbinguni na peponi
NITATIMBA HUKOHUKO.Mkuu hwa vimwana 72 hawapew wakorintho...wao ni kusifu na kuabudu.shangwe hizO ziko pepo ya 7 huko
Kwa sasa, kwa mbeleni mmmh.....hawa wasanii baadhi yao huwa wako na mambo mob sana (BAADHI YAO)Vanessa is a lucky lady
Mbinguni hamna kuoa wala kuolewa. Hilo.Maandiko yapi Blessed?
Kwa sasa, kwa mbeleni mmmh.....hawa wasanii baadhi yao huwa wako na mambo mob sana (BAADHI YAO)
Yani unamaanisha Mungu anibariki?Mwanamke yoyote duniani anapenda, anafurahia na anahitaji kupendwa
Mungu awabariki wanaume wote mnaotimiza hii haja ya mioyo ya wanawake zenu😍😍🙏
AhsanteMungu anakusikia
Naelewa mama D: Nilitamani sana isingekuwa (wasanii) , si kitu hata hivyo, ni maishaMaisha ni sasa mbalizi1. As long as wanapendana and they are happy hiyo baadae itajisort yenyewe[emoji5][emoji5]
Kila jambo lina wakati wake; uko wakati wa kupenda na upo wakati wa kuacha kupenda[emoji2][emoji2]
Eheheh..manual is so complicatedKwanini uishie getini na aliyetuleta alitubidhi user manual nzuri tuu?
Lakini ndoa sio kitu kibaya. And besides ndoa na mambo mengi ya dunia yako "oves" kabisa.Eeeh, ndio maana ulitumwa duniani uje kuoa na kufanya ya dunia hii kabla hujaenda kupumzika kwa amani🤣🤣🤣