Untold bitter truth about HALLELUJAH by Diamond

Hahaha ila jamani uongo mbaya hii nyimbo zuri aisee sio utani hayo yakununua au asinunue atajua yy kwani hela si zake,...jamaa anausogeza sana mziki wakibongo yaani kuwaweka ndani wakina morgani aise sio kitu kdgo jamaa wale ni wakubwa na wameshinda hadi tuzo za grammy
 
Hiv kuwa na chanel VEVO unatakiwa uwe na vigezo gani (kwa wasanii)
 
Uku ni Kuwashwa washwa
 
Neno mkuu
 
Mwingine huyu hapa asiyefahamu what is Vevo account na Vevo Youtube account!!

Yaani wewe ni miongoni mwa wale wasiofahamu kwamba hizo mnazoita Vevo account zinapatikana kwenye Vevo Youtube Channel na ndio maana hizo video zinaweza kuwa accessed hata ukiwa Nanjilinji!!!!

Vevo Account ya Kiba inayokuwa accessed na majority ipo Youtube na sio kwenye Vevo per se kwa sababu huwezi ku-access Vevo from Tanzania! Na kwa maana nyingine, I can bet 99% ya Views wanatokana na Youtube kwa sababu akaunti yake ipo Youtube channel!!!

Look the difference kati ya pure Vevo account na Vevo Youtube Channel account:


Hiyo hapo juu ni Look What You Made Me Do ya Taylor Swift ikiwa kwenye Vevo account!! Now angalia the same video ambayo ipo kwenye Vevo Youtube Channel:


Look, homapage ya screenshot ya juu ina logo ya Vevo wakati ya chini ya chini ni Youtube!!!

Now tell me: Mashabiki wanao-access video ya Kiba, homepage yake ina logo ya Vevo au Youtube?

Likewise, wana-access hiyo video kutokea Vevo au Youtube?!

Guys, Vevo is nothing pasipo na Youtube na ndio maana hata wao wanalipia Youtube kwa ajili ya hizo akaunti mnazoiita za Vevo lakini kimsingi ni Youtube accounts zilizofunguliwa kwenye channel ya Youtube ya Vevo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…