mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
hichi kitu kama nilikisoma form 2 kwenye topiki fulani hivi inaelezea mambo ya latent heat of fusion na mambo ya linear expansivity kama sikosei nshasahau..Maji ya moto hugeuka kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji baridi...😊