Ununio kuna nini?

Makoja

Member
Joined
Mar 21, 2018
Posts
33
Reaction score
75
Jamani wana Jamvini mimi nipo mkoani hili neno usinishushe ununio silielewi Narejea wimbo wa Becka hapo ununio najua ni Dar-es-salaam kuna nini au ni msemo tu nauliza yasije nikuta siku nikija Dar.
 
zamani kulikuwa na miti aina ya mitunduru eneo hili lipo karibu na bahari huko Dar........Kuna baridi sana wakati wa Alfajiri ni lazima ujifunike Blangeti..........Wanoko ni wengi usipime...................!!!! ukiwa Mgeni unajulikana...................!!!!
 
Ununio naskia sikia eti sasa sjui ni kweli au vp lkn naskia ukijimix ukishushwa hapo ununio ukirudi mzima katoe sadaka
 
Ununio naskia sikia eti sasa sjui ni kweli au vp lkn naskia ukijimix ukishushwa hapo ununio ukirudi mzima katoe sadaka
Hata mimi nilikuwa nasikia hivyo lkn nimeuliza hapa naambiwa eti ni Beach tu Mhhhh ngoja niendeelee kuwa mshamba wa Mkoani
 
Ununio ni kwa wasiojulikana wengi na wanaojulikana wachache..... Akili yako fahari ya maisha yako...
 
Nmeskia kumis kigambon
Na Coco Beach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…