Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!! Muyamalize kifamilia familia kwanzaHahahahaha ununio ni jina la beach mkuu
Utuulizage wa mikoan wenzako pm kwanza unatudhalilisha
Hahahahah sawa ndugu yang ila unaharibu watu wa dar watapata kanafas ka kutushambuliaHahaha wewe Monkey [emoji87] wewe kuuliza Sio ujinga.
Hahaha sawa nimeshamkanyaHahah!! Muyamalize kifamilia familia kwanza
Vipi leo sio zamu yako ya kuchunga mbuzi?Hata mimi nilikuwa nasikia hivyo lkn nimeuliza hapa naambiwa eti ni Beach tu Mhhhh ngoja niendeelee kuwa mshamba wa Mkoani
Hahahahaha ununio ni jina la beach mkuu
Utuulizage wa mikoan wenzako pm kwanza unatudhalilisha
haha haaUnunio naskia sikia eti sasa sjui ni kweli au vp lkn naskia ukijimix ukishushwa hapo ununio ukirudi mzima katoe sadaka
hah hahaaVipi leo sio zamu yako ya kuchunga mbuzi?