Ni mwizi huyo anayejiita "Mwl Rct, usithubutu kumpa hela.Habari za siku nyingi wana familia? Sina mengi ila naomba kuuliza kuhusu yule jamaa alikua anasaidia delivery ya bidhaa kutoka ktk online market zisizo safirisha bidhaa kwenda P.O Box. Mfano (amazon,e-bay na wengineo). Huyu jamaa bado yupo active humu ndani?.
Huyo jamaa alishamtapeli jamaa yangu niliyemwelekeza kwake, mpaka leo mwaka wa 3 hajamnunulia simu, na hela alishatumiwa zaidi ya laki 5.Mkuu mwl bado yuko. nenda jukwaa la matangazo madogo madogo, huko ndo kambi yake kuu ipo