Ununuaji na uagizaji wa bidhaa online

Ununuaji na uagizaji wa bidhaa online

Donkere91

Senior Member
Joined
May 28, 2016
Posts
185
Reaction score
162
Habari za siku nyingi wana familia? Sina mengi ila naomba kuuliza kuhusu yule jamaa alikua anasaidia delivery ya bidhaa kutoka ktk online market zisizo safirisha bidhaa kwenda P.O Box. Mfano (amazon,e-bay na wengineo). Huyu jamaa bado yupo active humu ndani?.
 
Mkuu mwl bado yuko. nenda jukwaa la matangazo madogo madogo, huko ndo kambi yake kuu ipo
 
Ni mwizi huyo anayejiita "Mwl Rct, usithubutu kumpa hela.
 
Mkuu mwl bado yuko. nenda jukwaa la matangazo madogo madogo, huko ndo kambi yake kuu ipo
Huyo jamaa alishamtapeli jamaa yangu niliyemwelekeza kwake, mpaka leo mwaka wa 3 hajamnunulia simu, na hela alishatumiwa zaidi ya laki 5.
 
Back
Top Bottom