Joeh banks
Member
- Jan 6, 2019
- 6
- 1
Naombeni ushauri je ununuaji wa hisa unalipa maana kuna bank inauza hisa 265 tsh hisa moja je inalipa na wataka ununue hisa kwanzia 100 je naombeni ushauri ununuaji wa hisa unalipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app