Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Akili zingine bhana huyu mtu ananunua viewers na mziki wake wa ujanja ujanja hivi inakuwaje anapata shows nyingi hivi nje ya nchi?
Malawi
Mayotte
Zimbabwe
Zambia
Nigeria
Botwana
Uk tour na Neyo
Hivi mziki wake unafikaje huko?
Hawa wengine ambao hawanunui viewers mbona hawapati shows nje , wakijitaidi sana Mombasa?
Mwenye uelewa anifahamishe?
 
Wapi nilipochagua team?
Hivi uyo mnaemshabikia ameweza kuutangaza mziki wake nje ya Tz?
Acheni hizo majungu sio mtu yupo ndani ya game miaka zaid ya kumi hata kufanya show uganda hawezi halaf mnataka kumfananisha na mwenzake anaepiga mziki Africa na sasa anaangalia fursa ulaya uko?
africa??ulaya acha utani
 
Hizi picha naona unazirudia hii kama sikosei mara ya 5 leo!

Vitu vizuri vinaigwa mkuu
Wimbo wataifa wenyewe tumeiga kwa South afrika sembuse video au wimbo wa mtu mmoja?
Hahaaaaa aisee mahaba haya hv hujiskii raha msanii wako akija na kitu cha tofauti?? ,Salome kaoga Nigeria , nywele kaiga yaani kila kitu,. Mziki wake anaiga Nigeria HV ishawahi kuona wimbo/ video ya alikiba alioiga sehemu, king mziki wake ni wa kipekee sauti ya kipekee, kila kitu ni uniqueness kwetu hakunaga kuigaaa
 
Ahahaaaaaah...
Mkuu...
Mtu akiona username yako na hiyo avatar yako kabla ya kuona michango yako humu Jukwaani anaweza sema wewe ni great thinker mmoja wa hatari sana...
Lakini akijakuona michango yako tu,atagundua wewe ni bonge moja la KIAZI..!
[HASHTAG]#UKWELIKUHUSUWEWE[/HASHTAG]
Ha ha ha ha Daudi alikuaga fresh sana ila tangu ajiunge team dimpoz kwa pozzz amekua kama kala maharage
 
Hahaaaaa aisee mahaba haya hv hujiskii raha msanii wako akija na kitu cha tofauti?? ,Salome kaoga Nigeria , nywele kaiga yaani kila kitu,. Mziki wake anaiga Nigeria HV ishawahi kuona wimbo/ video ya alikiba alioiga sehemu, king mziki wake ni wa kipekee sauti ya kipekee, kila kitu ni uniqueness kwetu hakunaga kuigaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hata shows ni za kipekee maana mwisho niombasa kwa yule jamaa yake gavana.
Hivi lini alipiga show angalau hata uganda au hata malawi jirani kwa wanyakyusa?
 
Hahaaaaa aisee mahaba haya hv hujiskii raha msanii wako akija na kitu cha tofauti?? ,Salome kaoga Nigeria , nywele kaiga yaani kila kitu,. Mziki wake anaiga Nigeria HV ishawahi kuona wimbo/ video ya alikiba alioiga sehemu, king mziki wake ni wa kipekee sauti ya kipekee, kila kitu ni uniqueness kwetu hakunaga kuigaaa
huyo alikiba unaemshadadia kimasomaso hakuiga? imetoka juzijuzi risabela hata hamtaki kuizungumzia?
 
HV una habari kachukua tuzo mbili kubwa juz kati huko marekani?? Sasa kkoo ipi kkoo ya marekani ?? Punguza mapovuu

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
Labda nikuulize, nitajie show mbili alizofanya nchi tofauti ukiondoa Tanzania na Kenya?
Na lingine sijazungumzia tuzo bali ninezungumzia kuupandisha mziki wake.
Watu kama Sugu wanakumbukwa kwa kuufanya bongo fleva kusikilizwa na wanajamii.
Kiba ana zaid ya miaka kumi kwenye game, nini mchango ktk sanaa ya muziki?
Mark my words"Siku atakayostaafu mond kupiga mziki ndio utakuwa mwisho wa wewe kusikiliza na kumfuatilia Kiba"
 
huyo alikiba unaemshadadia kimasomaso hakuiga? imetoka juzijuzi risabela hata hamtaki kuizungumzia?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu mtu hamnazo hajui anachoongea
Hajui kama kiba aliimba kimasomaso
Kanunuliwa smart phone basi anabwabwaja tu
 
Kuitangaza Tanzania kivipi?!

Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!

Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
Show zipi unazozingumzia wewe?
Za mombasa au zile za utoaji tuzo anazoenda kwa migongo ya watu?
Tunataka akapige show yeye kama yeye,labda nikuulize tena mond yupo visiwani uko, ambapo wao mwanzo mwisho kifaransa, na ameenda kupiga show.
Yeye kiba wapi anewahi kwenda kufanya show kama hiyo ya mondi nitajie show moja tu.
 
649ea7f6b3b91f3ee124a560e5d884ba.jpg

Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb

Unajua jinsi ulivyo andika title mtu anaweza kufikiri kweli kuna ushahidi wa kununua viewers kumbe maneno matupu yakina max.Sasa huu ndio ushahidi? unacho kiongelea hakiwezi kuwa na ushahidi kwakuwa hakipo na hakijawai kuwepo.
Hivi kama ingekuwa ni rahisi kununua views kama mnavyo jaribu kuonesha unafikiri hao wanao lia lia wasingelinunua?
Mi nafikiri mnapotoza muda mwingi kupambana na mtu mmoja ambaye kila leo ana washinda...hivi angekuwa ana nunua kama mnavyosema unafikir mngekuwa wa kwanza kuliona hilo?

Hivi kweli huu ndio ushahidi wa mtu kununua viewers?
 
Back
Top Bottom