Hivi Tanzanite yuko wapi siku hizi na diamond yuko level gani?Hahaaaa mm Jana nimetoka kusema huyu domo wao anaiga kila kitu sa HV ndo naamini ule wimbo wa mbagara alimuibia idea Tanzanite for sure,
africa??ulaya acha utaniWapi nilipochagua team?
Hivi uyo mnaemshabikia ameweza kuutangaza mziki wake nje ya Tz?
Acheni hizo majungu sio mtu yupo ndani ya game miaka zaid ya kumi hata kufanya show uganda hawezi halaf mnataka kumfananisha na mwenzake anaepiga mziki Africa na sasa anaangalia fursa ulaya uko?
nakuuliza tena huyo max ni nani?Timu janjajanja mapovuu yanawatokaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaa aisee mahaba haya hv hujiskii raha msanii wako akija na kitu cha tofauti?? ,Salome kaoga Nigeria , nywele kaiga yaani kila kitu,. Mziki wake anaiga Nigeria HV ishawahi kuona wimbo/ video ya alikiba alioiga sehemu, king mziki wake ni wa kipekee sauti ya kipekee, kila kitu ni uniqueness kwetu hakunaga kuigaaaHizi picha naona unazirudia hii kama sikosei mara ya 5 leo!
Vitu vizuri vinaigwa mkuu
Wimbo wataifa wenyewe tumeiga kwa South afrika sembuse video au wimbo wa mtu mmoja?
Ha ha ha ha Daudi alikuaga fresh sana ila tangu ajiunge team dimpoz kwa pozzz amekua kama kala maharageAhahaaaaaah...
Mkuu...
Mtu akiona username yako na hiyo avatar yako kabla ya kuona michango yako humu Jukwaani anaweza sema wewe ni great thinker mmoja wa hatari sana...
Lakini akijakuona michango yako tu,atagundua wewe ni bonge moja la KIAZI..!
[HASHTAG]#UKWELIKUHUSUWEWE[/HASHTAG]
Ilikuwaje youtube wakampa tuzo mtu anaewacheat kwa kununua viewers?Ingia Google how to buy views utaelekezwa na price
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] atakuwa danga lakenakuuliza tena huyo max ni nani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hata shows ni za kipekee maana mwisho niombasa kwa yule jamaa yake gavana.Hahaaaaa aisee mahaba haya hv hujiskii raha msanii wako akija na kitu cha tofauti?? ,Salome kaoga Nigeria , nywele kaiga yaani kila kitu,. Mziki wake anaiga Nigeria HV ishawahi kuona wimbo/ video ya alikiba alioiga sehemu, king mziki wake ni wa kipekee sauti ya kipekee, kila kitu ni uniqueness kwetu hakunaga kuigaaa
huyo alikiba unaemshadadia kimasomaso hakuiga? imetoka juzijuzi risabela hata hamtaki kuizungumzia?Hahaaaaa aisee mahaba haya hv hujiskii raha msanii wako akija na kitu cha tofauti?? ,Salome kaoga Nigeria , nywele kaiga yaani kila kitu,. Mziki wake anaiga Nigeria HV ishawahi kuona wimbo/ video ya alikiba alioiga sehemu, king mziki wake ni wa kipekee sauti ya kipekee, kila kitu ni uniqueness kwetu hakunaga kuigaaa
Labda nikuulize, nitajie show mbili alizofanya nchi tofauti ukiondoa Tanzania na Kenya?HV una habari kachukua tuzo mbili kubwa juz kati huko marekani?? Sasa kkoo ipi kkoo ya marekani ?? Punguza mapovuu
Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
ha haaa haaaa wanapumuliana huko huku wanachat halafu anatuletea screen shot huku!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] atakuwa danga lake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu mtu hamnazo hajui anachoongeahuyo alikiba unaemshadadia kimasomaso hakuiga? imetoka juzijuzi risabela hata hamtaki kuizungumzia?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] screen shot za jamaa yake wakipiga umbeaha haaa haaaa wanapumuliana huko huku wanachat halafu anatuletea screen shot huku!!
Show zipi unazozingumzia wewe?Kuitangaza Tanzania kivipi?!
Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!
Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb
Ndio uwezo wako ulipofikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu la Omo hili
Ndio uwezo wako ulipofikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu la Omo hili