Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Wasanii siku zote ni wasanii, kila kitu kwao ni sanaa. Suala la kupata views wengi Youtube ni jambo linawezekana kutengenezwa kiujanja ujanja kwa 100%. Ni issue rahisi sana kwa Hackers wengi wa mitandaoni.

Kwa msanii yoyote ambaye anapenda Promo za mitandaoni lazima hii mbinu aitumie tu. Hakuna namna ya kulikwepa.

Maajabu ni kwamba WCB wamepanic kuhusu hili suala lilipoletwa kama mjadala. Wasiwasi wao unatoka wapi kama haliwahusu?
Vp kuhusu kupumuliwa inawezekana kuna ka ukweli eeh?
 
Mkuu kama ulugoogle jinsi jamaa ananunua viewers,
Unashindwaje ku google vigezo vya mtu kupewa tuzo na youtube?
Hahahahahaha aisee nimecheka kwa sauti sana hili jibu lako.
 
Nijuavo mm ukiwa na fan base kubwa duniani ndivo unavo pata viewers nyingi you tube kutokana na idadi ya watu wanao ingia kuangalia wimbo wako ndo maana ukiangalia akina Beyonce unakuta ana range above 50m viewers sasa na huyo nae ananunua au ni janjajanja anafanya, tuache mihemuko siku zote anae jitangaza zaidi ndie soko lake hufahamika zaidi.
 
Hapa sasa unazingua attachments mbili nilizoweka ni ushahidi wa nilichotoka kusema, au hukuona?
hapana mkuu ukigugo chochote utapata mkuu vingine hata ambavyo sio vya vya kweli utavipata mkuu! kazi inabaki kwako kuthibitisha kama hicho kitu ni kweli
 
Ila kuna ukweli hapa, jana nilitizama video ya Darasa na ndio ilikuwa No 1 trending lakin cha kushangaza ya mavoko sio trending lakin views zinakimbia kama pump za vituo vya mafuta.
 
hapana mkuu ukigugo chochote utapata mkuu vingine hata ambavyo
Si kweli, search engine hazipo kama unavyosema wewe chifu. Kuna article niliwahi kuisoma online ya mtu alikua anaelezea jinsi gani analipwa na makampuni ili awe anacomment.

Hata walmart wana mchezo wa kutumia wafanyakazi wao ili wacomment online, bahati mbaya ile article siioni ningeirusha hapa.
 
Hahahahahaha aisee nimecheka kwa sauti sana hili jibu lako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] me nimeshangaa mti kaenda ku google how to get fake viewers
Lakini kashindwa kugoogle vigezo vya mtu kupewa tuzo na youtube
 
Wekeni Video moja kisha nunue izo viewers mutuaminishe...
Mimi nipo tayari kama akaunti itakua yako na pesa utatoa wewe, mimi kazi yangu itakua kuratibu na kukupa feedback ya hatua kwa hatua.
 
Hizi akili zenu sijui zinafikiria nini?
Ngoja niwaache na ujinga wenu wa ki team, alafu mwambieni king wenu apeleke mziki wake nje ya kko, uyo anaenunua viewers sasa anaangalia soko la ulaya na america,
nilivyoanza kusoma comment yako nilikuona kama great thinker lakini nimeimaliza kwa kugundua kwamba kumbe wewe ni grear sinker
 
Si kweli, search engine hazipo kama unavyosema wewe chifu. Kuna article niliwahi kuisoma online ya mtu alikua anaelezea jinsi gani analipwa na makampuni ili awe anacomment.

Hata walmart wana mchezo wa kutumia wafanyakazi wao ili wacomment online, bahati mbaya ile article siioni ningeirusha hapa.
Tangu hili swala lianze mi nimejaribu kutafuta jamaa zangu wa IT ambao wako vizuri wameshindwa kunithibishia hicho kitu! Mpaka kwa jamaa wa software engineering amenikatalia hicho kitu.....Basi kama wewe mtaalamu wa hiyo kitu tuchukue video moja tuifanyie majaribio
 
Ila kuna ukweli hapa, jana nilitizama video ya Darasa na ndio ilikuwa No 1 trending lakin cha kushangaza ya mavoko sio trending lakin views zinakimbia kama pump za vituo vya mafuta.
Trending wapi? kwa tanzania? africa au?
 
Tangu hili swala lianze mi nimejaribu kutafuta jamaa zangu wa IT ambao wako vizuri wameshindwa kunithibishia hicho kitu! Mpaka kwa jamaa wa software engineering amenikatalia hicho kitu.....Basi kama wewe mtaalamu wa hiyo kitu tuchukue video moja tuifanyie majaribio
Kura za Trump tu watu wameweza kuziongeza, ishu za siri za Sony Ent. zikavujishwa, Email za Hillary zilipekuliwa, juzi tu Chege akaunti ya Insta walihack itakuwa hili swala la viewers?

Nakushauri kila utakapopata ushauri wa marafiki zako jaribu kuangalia na hali halisi.
 
Wanashinikiza hii hoja ya Diamond Kununua Viewers waweke na ushahidi..Mi naona porojo tu hapa kila siku..Ananunua vipi??? hawatoi majibu au Vielelezo vyovyote vinavyoeleweka. Naomba tuwapuuze
 
Watu kwa kutengeneza zengwe!?too much by darasa.
 
Kura za Trump tu watu wameweza kuziongeza, ishu za siri za Sony Ent. zikavujishwa, Email za Hillary zilipekuliwa, juzi tu Chege akaunti ya Insta walihack itakuwa hili swala la viewers?

Nakushauri kila utakapopata ushauri wa marafiki zako jaribu kuangalia na hali halisi.
Ww jaribu kununua hao view ututhibitishie ili tuamini lkn maneno nitazid kukataaa
 
ninachoshangazwa ni kwamba P.SQUARE wanajulikana dunia nzima lakini DIAMOND anawafunika kwa viewer wakati hata ulaya hajulikani,hapa lazima kutakuwa na ujanja ujanja unafanyika
Mimi hata sishangai yeye kununua Views maana tunamjua ni mzee wa misifa.

Ila kinachonishangaza mimi ni kwanini anawanunulia VIEWS Mpaka wasanii wanaomshirikisha Kama wafuatao:

1. AY - ZIGO RMX

2.JAH PRAYZAH

3.AKOTHEE

4.AKOTHEE

5.CHEGE - ACHA WAOANE

6.ERIC OMOND ( How to be Diamond Platnumz inakimbiza views balaa , mpaka sasa zaidi ya 700,000)

Sasa mimi nauliza yeye anapata faida gani kuwanunulia mpaka watu wanaomshirikisha?

Sitaki kujua lundo la watu wanaompokea maana hao anawanunua hakuna ubishi - SHOWS ananunua pia.
 
Back
Top Bottom