Vp kuhusu kupumuliwa inawezekana kuna ka ukweli eeh?Wasanii siku zote ni wasanii, kila kitu kwao ni sanaa. Suala la kupata views wengi Youtube ni jambo linawezekana kutengenezwa kiujanja ujanja kwa 100%. Ni issue rahisi sana kwa Hackers wengi wa mitandaoni.
Kwa msanii yoyote ambaye anapenda Promo za mitandaoni lazima hii mbinu aitumie tu. Hakuna namna ya kulikwepa.
Maajabu ni kwamba WCB wamepanic kuhusu hili suala lilipoletwa kama mjadala. Wasiwasi wao unatoka wapi kama haliwahusu?
Hahahahahaha aisee nimecheka kwa sauti sana hili jibu lako.Mkuu kama ulugoogle jinsi jamaa ananunua viewers,
Unashindwaje ku google vigezo vya mtu kupewa tuzo na youtube?
hapana mkuu ukigugo chochote utapata mkuu vingine hata ambavyo sio vya vya kweli utavipata mkuu! kazi inabaki kwako kuthibitisha kama hicho kitu ni kweliHapa sasa unazingua attachments mbili nilizoweka ni ushahidi wa nilichotoka kusema, au hukuona?
Wekeni Video moja kisha nunue izo viewers mutuaminishe...Hata hivyo ukinunua views inaonesha kua haurisk chochote iwe kwa video kufungiwa au wewe mwenyewe nimeingia net nimekuta hilo swali na jibu lake.
View attachment 440148
View attachment 440149
Hivyo wanaouliza kua mbona mtu hafungiwi swali lao halina maana.
Si kweli, search engine hazipo kama unavyosema wewe chifu. Kuna article niliwahi kuisoma online ya mtu alikua anaelezea jinsi gani analipwa na makampuni ili awe anacomment.hapana mkuu ukigugo chochote utapata mkuu vingine hata ambavyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] me nimeshangaa mti kaenda ku google how to get fake viewersHahahahahaha aisee nimecheka kwa sauti sana hili jibu lako.
Mimi nipo tayari kama akaunti itakua yako na pesa utatoa wewe, mimi kazi yangu itakua kuratibu na kukupa feedback ya hatua kwa hatua.Wekeni Video moja kisha nunue izo viewers mutuaminishe...
nilivyoanza kusoma comment yako nilikuona kama great thinker lakini nimeimaliza kwa kugundua kwamba kumbe wewe ni grear sinkerHizi akili zenu sijui zinafikiria nini?
Ngoja niwaache na ujinga wenu wa ki team, alafu mwambieni king wenu apeleke mziki wake nje ya kko, uyo anaenunua viewers sasa anaangalia soko la ulaya na america,
Tangu hili swala lianze mi nimejaribu kutafuta jamaa zangu wa IT ambao wako vizuri wameshindwa kunithibishia hicho kitu! Mpaka kwa jamaa wa software engineering amenikatalia hicho kitu.....Basi kama wewe mtaalamu wa hiyo kitu tuchukue video moja tuifanyie majaribioSi kweli, search engine hazipo kama unavyosema wewe chifu. Kuna article niliwahi kuisoma online ya mtu alikua anaelezea jinsi gani analipwa na makampuni ili awe anacomment.
Hata walmart wana mchezo wa kutumia wafanyakazi wao ili wacomment online, bahati mbaya ile article siioni ningeirusha hapa.
Trending wapi? kwa tanzania? africa au?Ila kuna ukweli hapa, jana nilitizama video ya Darasa na ndio ilikuwa No 1 trending lakin cha kushangaza ya mavoko sio trending lakin views zinakimbia kama pump za vituo vya mafuta.
Aisee!!!nilivyoanza kusoma comment yako nilikuona kama great thinker lakini nimeimaliza kwa kugundua kwamba kumbe wewe ni grear sinker
Kura za Trump tu watu wameweza kuziongeza, ishu za siri za Sony Ent. zikavujishwa, Email za Hillary zilipekuliwa, juzi tu Chege akaunti ya Insta walihack itakuwa hili swala la viewers?Tangu hili swala lianze mi nimejaribu kutafuta jamaa zangu wa IT ambao wako vizuri wameshindwa kunithibishia hicho kitu! Mpaka kwa jamaa wa software engineering amenikatalia hicho kitu.....Basi kama wewe mtaalamu wa hiyo kitu tuchukue video moja tuifanyie majaribio
Ama kweliAhahaha wanazidi kuongezeka siku hadi siku.
Kaibiwa wimbo mpaka leo ajatoa mwingine sijui alikua nao mmoja tu.Hivi Tanzanite yuko wapi siku hizi na diamond yuko level gani?
Ww jaribu kununua hao view ututhibitishie ili tuamini lkn maneno nitazid kukataaaKura za Trump tu watu wameweza kuziongeza, ishu za siri za Sony Ent. zikavujishwa, Email za Hillary zilipekuliwa, juzi tu Chege akaunti ya Insta walihack itakuwa hili swala la viewers?
Nakushauri kila utakapopata ushauri wa marafiki zako jaribu kuangalia na hali halisi.
Mimi hata sishangai yeye kununua Views maana tunamjua ni mzee wa misifa.ninachoshangazwa ni kwamba P.SQUARE wanajulikana dunia nzima lakini DIAMOND anawafunika kwa viewer wakati hata ulaya hajulikani,hapa lazima kutakuwa na ujanja ujanja unafanyika