Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Kinachoangaliwa unafikishaje mziki wetu mbali na pesa unayoipata kupitia huo mziki.
 
Hili swala linahitaji kupuuzwa coz hakuna ata mmoja aliyethibitisha kwa vitendo wamebaki kutoa maneno tu
 
Ha haaa mkuu naona umeanza mipasho sasa.....hizo za donald trump nani amethibitisha kama kweli walihach system?
 
Ww jaribu kununua hao view ututhibitishie ili tuamini lkn maneno nitazid kukataaa
Currently sina kitu cha kuupload youtube, kuna mdau katoa wazo kama lako, nimekubali hilo wazo ila kama itatumika akaunti yake na pesa atatoa yeye (2$ kwa 1000 views). Kama unabisha haiwezekani chukua nafasi ya mdau tusettle this issue once and for all.
 
Ngoja tufanye kautafiti ujanja ujanja hatutaki ingawa mimi sio hater wa Diamond nakubali masongi yake.

Trending list kenya
Popular Right Now - Kenya - YouTube
Darasa yupo namba 30
FA dume suruali namba 31
kokoro radio tour namba 40
kokoro official video haipo kwenye trending videos list ambazo zipo 200
 
Mkuu kuna wimbo mmoja wa domo uli leak inaitwa hello ni audio tu lkn una view zaid ya lakh tisa na syo upo kwny acc ya mond
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe kweli maji kupwa maji kujaa
Kwaiyo akibadilisha kitu basi kaiga?
Kwaiyo siku akinyoa upara atakuwa amemuiga nani? Au january makamba
Batez kipa wa Ufaransa[emoji4]
 
Ha haaa mkuu naona umeanza mipasho sasa.....hizo za donald trump nani amethibitisha kama kweli walihach system?
Duh ukweli umekua mipasho tena mkuu? Mimi na wewe tunabishana juu ya views huko Marekani wanataka kurudia uhesabuji wa kura katika majimbo 3 kukiwa na speculation kua kuna hacking imefanyika, hiyo ndiyo itaweza kuthibitisha kwa sasa inahisiwa.

Tusitoke nje ya mada sana hiyo ilikua ni mifano ya kukuonesha kua rafiki zako ni waongo.
 
Trending list Tanzania
Trending - YouTube
1. darasa
2.dume suruali
3.kokoro radio tour
kokoro official video haipo kabisa kwenye list
 
Sa hiyo maada ina mpango gani au inafundisha nini katika jamii kiujumla
 

 
Youtube last month wamempa tunzo diamond na millard ayo kwa kuwa na views nyingi kusini mwa jangwa la sahara ktk music industry na media.... I do believe kulikuwa na verification ya hizo views kabla hawajatoa hizo tuzo kwa wahusika.....
 
Sa hiyo maada ina mpango gani au inafundisha nini katika jamii kiujumla
Ingia jukwaa la hoja na habari mchanganyiko ukichanganywa huku ndiyo pa kupumzikia.
 
Mm sina doubt ya kununua view naamini huwo mchezo haupo coz siamin kama mtu kapewa adi tuzo na YouTube na hawakuliona hilo siamini kama wana ujinga kiasi icho.....kinachotusumbua apa ni ushabiki hakuna kitu zingne maana kama hilo jambo lipo lingekuwa lishathibitishwa kitambo tu
 
Fanya sample basi ya kazi yako tuone
 
ninachoshangazwa ni kwamba P.SQUARE wanajulikana dunia nzima lakini DIAMOND anawafunika kwa viewer wakati hata ulaya hajulikani,hapa lazima kutakuwa na ujanja ujanja unafanyika
Kwa hiyo unataka kusema huo unao huita ujanja ujanja wewe unaujua vizuri kuliko wenyewe you tube?
Hadi leo sijaona hoja ya kunishawishi kuwa Diamond ana nunua viewers maana Diamond anatamba hadi kwenye nyimbo anazo shirikishwa na wengine,na hapo mnajaribu kusema huwanunulia hadi wanao mshirikisha....?
Yani naona wingi wa vilio kuliko ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…