Ununuzi Kwa Njia Ya Ushindani (Mnada)

rickaz

Member
Joined
Aug 9, 2009
Posts
40
Reaction score
2
Hapa Tanzania mnada umekua ukifanyika pale mtu anapo shindwa kulipa deni.

Kawaida kila mtu anakitu ambacho angependa akiuze kwasababu moja au nyingine. Inaweza ikawa simu, laptop au kitu chochote, iwe ni kipya au kimetumika. Njia nzuri na rahisi ni kukinadi ili watu wakinunue kwa njia ya Ushindani kulingana na uwezo wao ambapo mwenye dau kubwa ndo atashinda.

Hii sasa inawezekana kupitia tovuti ya mnada.co.tz

Unaweza itembelea ujionee ni namna gani utaweza uza bidhaa yako au kushiriki ununuzi kwa njia ya Ushindani (mnada)
 
Nimeweka simu yangu kwenye mnada. Tembelea http://mnada.co.tz/item.php?id=5 utupe dau lako.. Imebaki siku mbili mdau mkubwa apatikane.. Kama unaipenda hii Samsung Omnia 7 Window phone yenye 8GB weka dau lako sasa.
 
Mod vp kunani hapa mnada ok napita tu jamani e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…