goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,668
- 994
Ndugu watanzania wenzangu hamjambo?
Naomba kujua kama mtu akiwa na mkopo bank, hasa kwa watumishi, na akahitaji kulipa mkopo wote kwa kweshi au kwa kuuza kwa kampuni nyingine, Je atadaiwa na riba halisi ya muda ambao mkopo ungekoma.
Yani mfano, nimekopa bank abc tsh. 5,800,000/miezi 72, na tayari nimelipa miezi 21, makato 205,000/monthly . Je endapo nitaamua kulipa au kuuza mkopo huu watanikata hadi riba yote ya miaka. 6?
Ahsateni wakuu.
JF home for great thinkers!
Sent using Jamii Forums mobile app