Ununuzi wa nyumba za NHC...

Kisaka80

Senior Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
151
Reaction score
94
My JF Members,

Habari za muda huu!


Naomba mnifahamishe ukweli kuhusu hizi nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba la Taifa (NHC) na kuuzwa hasa kwa hapa Dar es salaam bei zao halisi zipoje?

Mfano, mimi nataka nyumba ya ghorofa moja inayojengwa na NHC je itanigharimu kiasi gani kupata hiyo nyumba kulingana na bei zao?

Pia, endapo ni ya kawaida tu (siyo ya ghorofa moja) inagharimu kiasi gani?

NB: Kwa mtu anayefahamu taratibu za hawa NHC ku-book kununua nyumba naomba anifahamishe tafadhali. Pia naomba na website yao maana nawatafuta bila mafanikio.


Natanguliza shukrani zangu kwenu wapendwa.
 

Ukifungua website yao, "www.nhctz.com" utapata maelezo yote kuhusu nyumba zao, yaani aina ya nyumba, mahali ilipo, size yake, bei yake, kama bado zinauzwa au zimeisha nk

ALL THE BEST MKUU
 
Uzuri wa hizo! nyumba ni maeneo zilipo na sio gharama zake!

So kama una hela ya kutosha, ukifika ofisini kwao jamaa wako safi kukusaidia! jamaa wamejitahidi kubadilika hasahasa kwa Arusha na Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…