Mkuu kwanza nikurekebishe. Hizi haziitwi Bonds. Zinaitwa Treasury Bills. Rationale hapo ni kuwa, hakuna mtu anayeweza 'kuimiliki serikali' maana bond ni sehemu ya umiliki.
Pili, hizi bills haziuzwi kwa mtu binafsi. Zinauzwa kwa financial istitutions, pension funds pamoja na insurance companies.