Ununuzi wa treasury bonds za serikali

Ununuzi wa treasury bonds za serikali

Upanga

Senior Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
145
Reaction score
50
Ndugu wana Jamii husika na kichwa hapo juuu, mtu akitaka kununua Bonds za serilikali huwa anafuata utaratibu gani?
 
Mkuu kwanza nikurekebishe. Hizi haziitwi Bonds. Zinaitwa Treasury Bills. Rationale hapo ni kuwa, hakuna mtu anayeweza 'kuimiliki serikali' maana bond ni sehemu ya umiliki.
Pili, hizi bills haziuzwi kwa mtu binafsi. Zinauzwa kwa financial istitutions, pension funds pamoja na insurance companies.
 
Mmmmh haya lakini ninachokifahamu T.Bills hizi ni za muda mfupi na T.Bonds ni za muda mrefu pia nilivyokuwa najuwa ni kwamba hata mtu binafsi unaruhusiwa kununua labda modarity ya kununua ndo waweza pitia kwa brokers n.k
kama nitakuwa nimekosea basi waweza ni sahisha bila shida.
 
Back
Top Bottom