Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Wakuu Tumemsikia Msemaji wa Serikali Ndugu Greyson Msigwa akitoa Uchambuzi Juu ya Serikali kudhamiria Kununua Umeme Kutoka Ethiopia kupitia Kenya.
Msemaji huyo amedai ununuzi huo wa Umeme utaenda Kuimarisha Hali ya Upatikanaji wa Umeme kwa Mikoa Ya Kaskazini Yani Arusha Na Kilimanjaro.
Sasa Deep down tunaomba Majibu ya Maswali haya
Kama issue ni Umbali kutoka katika Vyanzo vya uzalishaji Mpaka kwenye Mikoa Inayohusika (Load Centers) je how far from Arusha to Ethiopia? Yani uache kutoa Umeme Chalinze ambapo tayari miundo mbinu ya Bwawa la Mwalimu Nyerere imefika halafu ukanunue Umeme Ethiopia
Kiuchumi tu naona Gharama za Kununua Ethiopia ni Kubwa kwasababu utamlipa Ethiopia na Pia Utamlimpa Kenya Kwa kutumia Miundo Mbinu yake kupitisha hio Nishati
Tanzania ni mwanachama Wa Eastern African Power Pool na Moja Ya aim ya Umoja Huo ni Regional Interconnection kitu ambacho ni kizuri sana Kuunganisha Grid za Nchi tofauti tofauti Just incase mtu akiwa na Scarcity ni rahsi ku import kupitia kwa mwenzake lakini kwa sasa tanzania hatuna hio scarcity na Badala yake Tuna Surplus
Energy security haiwi archievied kwa Kutumia Nishati ya Jirani kwanza kwa Mikoa Potential kama Arusha Kuwa Off grid sio Salama kabisa na Ina Compromise na National Security
Energy security inakuwa archievied kwa Kuwa Na Mix of Energy sources uzalishe kwa Jua, Geothermal upepo na Maji there after ufanye Integration ya izo Sources
Kusema Arusha na Moshi ziwe fed Kupitia Neighbors hio sio Suluhisho la Nishati Kwa kanda izo Ni kuhatarisha Usalama wa Mikoa Iyo mana Energy ni Jambo Sensitive sana