🤣🤣🤣 Serikali ijitathimini sana.Habari nzuri.
Wale walisema midomo.. siku 10 ziliwafaa munatia aibu, kuna maeneo ya ujuzi hamujui mupigege kinywa kimya.
Uchunguzi muhimu wa ndani kwa ndani.
Pesa nyingi imepotea kwa wananchi kwenye yao.. ndani ya siku hizi.
Kazi iendeleee.
JF inazidi kunogile awamu hii.
JF yetu hapa ni tumefika miaka nenda rudi.🤣🤣🤣 Serikali ijitathimini sana.
Ngoja tunogeke na JF
Mkuu una uwezo wa kua na samaki tani mbili ila huna uwezo wa kua na jenereta? Niajiri nisimamie biashara yako.Watulipe fidia...samaki wangu tani mbili wameharibika...plus usumbufu kwangu na wateja.
Genereta la nn mkuu kwenye nchi yenye uhakika wa umemeMkuu una uwezo wa kua na samaki tani mbili ila huna uwezo wa kua na jenereta? Niajiri nisimamie biashara yako.
Haupo Africa?Genereta la nn mkuu kwenye nchi yenye uhakika wa umeme
Hivi kwa nini msiwe mnanunua umeme wa mwezi mzima?Ni kweli dakika chache zilizopita nimefanikiwa kununua umeme. Baada ya kukosa huduma ya umeme kwa siku mbili.
Kwa biashara ipi au kwa mshahara upi?Hivi kwa nini msiwe mnanunua umeme wa mwezi mzima?
Hujawahi kusikiaHivi kwa nini msiwe mnanunua umeme wa mwezi mzima?
wangetoa unit hata 10 kwa wateja wao wote japo ndogo lakini inatosha kuombea msamaha maana kuna watu wamechoma mafuta kuna watu wametumia gharama kutafuta luku wangefanya kitu kwa wateja wote free units kidogo kwa wateja wote.Habari nzuri..
Wale walisema midomo.. siku 10 ziliwafaa..munatia aibu.. kuna maeneo ya ujuzi hamujui mupigege kinywa kimya..
Uchunguzi muhimu wa ndani kwa ndani..
Pesa nyingi imepotea kwa wananchi kwenye yao.. ndani ya siku hizi..
Kazi iendeleee...
JF inazidi kunogile.. awamu hii..
Kumbe MkongoIla kuna vitukwo.. wa NMB walibaanza kujiweke LUKU kwa apu yao.. kwanza jana bila tatizo.. badae usiku ikaja kurudi.. NMB hadi na ikazidiwa bath kutumia ikawa haipiti kama kawaida.. bantu bakajaribu jaribu hadi banapata..
Macho yangu yalikuwa kodo kodo.. masikio yakafunguka pia..
Ukiyajua ya mifumo.. hapana tabu kujua lazima litarudi tu.. sio la masiku 10..ilikuwa ya masaa tatu tu tangu abatembelee pale..
Kazi iendelee..